TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

You're right my Princess... hujakosea sana wala nini, coz' sometimes nakuwepo kama hivi but sometimes nikiingiza mitini inakuwa jumla! All in all, happy kwamba uko poa!
Kabisa mkuu, karibu jamvini
 
Kuna nyuzi huku na alikiri mwenyewe kuwa ni mshirikina Kuna Uzi wa 2015 mwingine 2018.
Hiyo haiwezi kuwa hoja kwa sababu, Wabongo wengi ni Washirikina tu lakini wengi wao ushirikina wao sio wa kuua!

Tofauti kati ya hao Wabongo wengine na Tale ni kwamba, wakati Tale anakiri hadharani, wengine watakuambia hawajawahi hata kufikiria kwenda kwa mganga wakati si ajabu hao ndo wakawa washirikina wakubwa kuliko hata huyo Tale!

Pili, siku show ya Diamond imevurugika Ujerumani, Tale bila aibu akaoneshwa kufurahishwa kwake kutokana na kuvurugika huko kwa kile alichoamini itawapa publicity! Tale ni mfuasi mzuri wa "There is no such thing as bad publicity... publicity is just publicity"

Ni kutokana na hilo, ndo maana si ajabu kabisa kumsikia Tale hadharani akikiri kufanya ushirikina kwa sababu anafahamu baada ya hapo wataongelewa tu!

Tale hana tofauti na Fella... wote hawa, kwao "there's no such thing as bad publicity"! Ni kama Lulu Diva alivyowahi kumlipa TID a-publicise eti ana mtoto mmoja kijijini kwao lakini kamtelekeza!

Ni kama ambavyo miaka kadhaa nyuma Dully Syke wakati anasumbuliwa na utoto, aliwahi kutangaza alivamiwa na watu eti wakataka kumlawiti"

Siku ukidhani kuua ni rahisi kiasi hicho, fanya kufikiria kuua hata mtu baki let alone kuua mtu unaye-share nae pumzi! Yaani muamini kaua eti kisa tu huko nyuma alishawahi kusema huwa anaenda kwa waganga!!! Kwenda kwa waganga ingekuwa ndo kuweza kuua mbona familia nyingi zingekuwa zimefutika!!!
 
Usigenerolaizi bwana. Mimi ni mwanamke na robo tatu. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa. Just bicozi iam not in the same wavelength as you eti basi am wikedi. Ohooooooooo.Tukubali kutokukubaliana mimi ni mpakwa mafuta ninajua vitu beyond your capacity. Tofautisha kuwa deep kwenye kijiko na kuwa deep kwenye pacific ocean. Yes am wicked.....Kwani wewe unaongeza ama kupungukiwa nini ?Kipe Yayo...ma camarade na ngai.
Kuna Uzi humu wa 2015 baba tale alikiri kuwa mshirikina na mwingine mganga, I wonder why povu
 
Hiyo haiwezi kuwa hoja kwa sababu, Wabongo wengi ni Washirikina tu lakini wengi wao ushirikina wao sio wa kuua!

Tofauti kati ya hao Wabongo wengine na Tale ni kwamba, wakati Tale anakiri hadharani, wengine watakuambia hawajawahi hata kufikiria kwenda kwa mganga wakati si ajabu hao ndo wakawa washirikina wakubwa kuliko hata huyo Tale!

Pili, siku show ya Diamond imevurugika Ujerumani, Tale bila aibu akaoneshwa kufurahishwa kwake kutokana na kuvurugika huko kwa kile alichoamini itawapa publicity! Tale ni mfuasi mzuri wa "There is no such thing as bad publicity... publicity is just publicity"

Ni kutokana na hilo, ndo maana si ajabu kabisa kumsikia Tale hadharani akikiri kufanya ushirikina kwa sababu anafahamu baada ya hapo wataongelewa tu!

Tale hana tofauti na Fella... wote hawa, kwao "there's no such thing as bad publicity"! Ni kama Lulu Diva alivyowahi kumlipa TID a-publicise eti ana mtoto mmoja kijijini kwao lakini kamtelekeza!

Ni kama ambavyo miaka kadhaa nyuma Dully Syke wakati anasumbuliwa na utoto, aliwahi kutangaza alivamiwa na watu eti wakataka kumlawiti"

Siku ukidhani kuua ni rahisi kiasi hicho, fanya kufikiria kuua hata mtu baki let alone kuua mtu unaye-share nae pumzi! Yaani muamini kaua eti kisa tu huko nyuma alishawahi kusema huwa anaenda kwa waganga!!! Kwenda kwa waganga ingekuwa ndo kuweza kuua mbona familia nyingi zingekuwa zimefutika!!!
Sasa waja wame connect dot kiurahisi tu kulingana na yeye ushirikina wake, pia ni kweli watu wengi bongo ni washirikina Sana na Kuna wengine Hawa practice kabisa.

So babu tale yeye ku confess ndo kumemfanya watu wahisi hivo na wengine kuhusisha na ubunge, na ukute wife wake kafa natural death kabisa.
Pia nimejifunza in this life si kila Jambo la ku confess Bora kupiga kimya chako maisha yaendelee
 
Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini Tale anaweza kumuua mke wake... the guy loved his wife for real though hiyo haiwezi kuwa excuse! Ninachoamini, kuua/kupoteza mke si jambo dogo! Mtu anaweza kupata wazimu wa kuua mtoto kuliko mke!

Kuhusu Wabongo na ushirikina, niligundua hili jambo years back... nilipata tatizo ambalo lilinitoa kabisa kwenye reli!

Ajabu, hata Washikaji ambao sikuwahi kabisa kuwadhania, na wenyewe wakawa wananishauri niende kwa Waganga!

Ukirudi kwa ndugu, na sie Waswahili tuishio Uswahilini ndo taabu tupu!!

Mtu ambae aliniweza, alikuwa ni my ex! Kwanza huyu alikuwa very supportive kwenye mitihani niliyokuwa nimekumbana nayo! On top of that, she's dah... very decent and humble to the point nilishindwa kabisa kumkatalia!

Sasa kuna siku akaja home akasema kuna Sheikh keshamlipa, na huyo Sheikh aliwahi kumsaidia kakake; kwahiyo niende tu Sheikh atafanya mambo!!!

Sipendi kuwa mnafiki; ingawaje mimi ni Mwislamu but I don't trust these so-called Sheikhs wakiongeza uganga kwenye CV zao! Sasa nikawa njia panada, huyu my ex- ni very supportive, na mbaya zaidi keshamlipa the so called Sheikh... what should I do!

Nikaamua kwenda kwa sababu kuu 2, mosi the girl ni Mkatoliki Damu, na pili nikaamini inawezekana akawa Sheikh kweli kwa sababu niliamini there's no way huyu mrembo angenipeleka kwa mganga!

Kufika kwa sheikh sasa... advertize ya kwanza kuna madrasa! Nikapata nguvu! Later on akaleta vijana wake pale wakajifanya kusomasoma, walipokuja kuniboa, muda nataka kuondoka nikapewa kidumu cha lita 5, ndani sijui kuna madudu gani sijui... eti nikaoge kwa siku 7!

Nikajua hawa ndo wale wale!!!

Sasa nikikumbuka kile kipindi, kila unayekutana nae, hakuna cha maana anachokuambia "...kule kuna mzee fulani!" "Mkuranga, kuna bibi fulani!" Kuna mshikaji alishawahi kunilipia hadi nauli eti niende Tanga!!!!

Tukirudi kwa Tale, kingine kinachomsumbua ni shule! Kichwa kikiwa cheupe unaropoka chochote bila kujali consquences zake hapo baadae ingawaje uropokaji na wenyewe kwa wengine ni kipaji cha kuzaliwa nacho!!

Matokeo yake, ndo kama ulivyosema, hivi unaepukaje tuhuma za ushirikina wakati amekuwa akiongea hata mwenyewe hadharani!!
 
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.

Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.

View attachment 1490835

View attachment 1490828
Asee poleni zake.
Kaondoka na uzuri/utamu wake walah..
Nini kimemfanya akang'ata shuka mapema hivyo jamani
 
Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini Tale anaweza kumuua mke wake... the guy loved his wife for real though hiyo haiwezi kuwa excuse! Ninachoamini, kuua/kupoteza mke si jambo dogo! Mtu anaweza kupata wazimu wa kuua mtoto kuliko mke!

Kuhusu Wabongo na ushirikina, niligundua hili jambo years back... nilipata tatizo ambalo lilinitoa kabisa kwenye reli!

Ajabu, hata Washikaji ambao sikuwahi kabisa kuwadhania, na wenyewe wakawa wananishauri niende kwa Waganga!

Ukirudi kwa ndugu, na sie Waswahili tuishio Uswahilini ndo taabu tupu!!

Mtu ambae aliniweza, alikuwa ni my ex! Kwanza huyu alikuwa very supportive kwenye mitihani niliyokuwa nimekumbana nayo! On top of that, she's dah... very decent and humble to the point nilishindwa kabisa kumkatalia!

Sasa kuna siku akaja home akasema kuna Sheikh keshamlipa, na huyo Sheikh aliwahi kumsaidia kakake; kwahiyo niende tu Sheikh atafanya mambo!!!

Sipendi kuwa mnafiki; ingawaje mimi ni Mwislamu but I don't trust these so-called Sheikhs wakiongeza uganga kwenye CV zao! Sasa nikawa njia panada, huyu my ex- ni very supportive, na mbaya zaidi keshamlipa the so called Sheikh... what should I do!

Nikaamua kwenda kwa sababu kuu 2, mosi the girl ni Mkatoliki Damu, na pili nikaamini inawezekana akawa Sheikh kweli kwa sababu niliamini there's no way huyu mrembo angenipeleka kwa mganga!

Kufika kwa sheikh sasa... advertize ya kwanza kuna madrasa! Nikapata nguvu! Later on akaleta vijana wake pale wakajifanya kusomasoma, walipokuja kuniboa, muda nataka kuondoka nikapewa kidumu cha lita 5, ndani sijui kuna madudu gani sijui... eti nikaoge kwa siku 7!

Nikajua hawa ndo wale wale!!!

Sasa nikikumbuka kile kipindi, kila unayekutana nae, hakuna cha maana anachokuambia "...kule kuna mzee fulani!" "Mkuranga, kuna bibi fulani!" Kuna mshikaji alishawahi kunilipia hadi nauli eti niende Tanga!!!!

Tukirudi kwa Tale, kingine kinachomsumbua ni shule! Kichwa kikiwa cheupe unaropoka chochote bila kujali consquences zake hapo baadae ingawaje uropokaji na wenyewe kwa wengine ni kipaji cha kuzaliwa nacho!! Matokeo yake, ndo kama ulivyosema, hivi unaepukaje tuhuma za ushirikina wakati amekuwa akiongea hata mwenyewe hadharani!!
Ujue kifo tumeumbiwa wanadamu na hutokea kwa yoyote yule kibongo ukipata janga tu tayari limehusishwa na uchawi wakati Mambo mengine hutokea natural bila mkono wa mtu yoyote, I do believe kwa Tale naye hvo hvo ni natural death maana mtu kuacha watoto vile ni msiba mkubwa nimeona na kushuhudia inavokuwa mtihani mkubwa.

Pia hii ya Watanzania 90% wanaamini uchawi na kurogana licha ya kujazana misikitini na makanisani kila siku, Tena jinsi Hali ilivo tete ya vyuma kukaza watu ndo wanakesha Sana hzo Mambo, na kusahau kuwa uchumi una kanuni zake tu ili ukue na hauhitaji ushirikina.

I personally Kuna kipindi nilipitia changamoto flani hivi zilizonitesa kila nikijaribu kumwambia mtu anasema wewe umerogwa twende nikupeleke kwa mtaalamu akusafishe sijui nyota, basi nimamwambia Mimi namwamini Mungu tatizo langu litaisha Hadi tukagombana kabisa kuwa Mimi bado na tatizo Ila staki kwenda kwa mtaalamu, mwingine akanishauri kwenda huko kenya kwa mtaalamu ambaye ana msaidia yeye Hadi biashara iende Napo nikagoma zangu, nikaendelea na ibada za kawaida nikaja kushangaa ile Hali na Yale matatizo kuisha na milango kufunguka tu bila kwenda kwa mganga, so from there nikajifunza kuwa makini watu hata maradhi wanahusisha na uchawi, biashara Yani too much.

Pia watanzania wanasahau maisha haya ups and downs ni nyingi ni part and parcels of our daily life na Wala si kurogwa mda Jambo likitokea find a solution kuliko kwa mganga, wengine wanaroga Hadi wenzi wao ugomvi uishe instead wangekaa chin na kuzungumza bila kutafta option nyingine.
 
Tatizo watu ukiwa na kitu tofauti na wanavyoamini wao,baaaaaasi hapo ni tatizo. Ni hivi nimesema Mshirikina Babu tale kamtoa kafara mkewe.
Haswaaaaah [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
cariha,

Hilo la kugombana na watu wako wa karibu lipo sana! Tena ukitoka kwenye familia zetu ambazo wasomi ni wa kuhesabu, basi ndo taabu tupu manake usipowasikiliza, wanakuona unajifanya msomi!! Kama issue yenyewe ni ya kikazi, ndugu aliyekuwa anakupa tafu anaweza hata kukususa eti anaona unayataka mwenyewe, kwanini usiende kwa "wataalamu"!

Na kati ya mambo ambayo nayaogopa sana ni masuala ya kazi au biashara kuyahusisha na waganga! Ukihusisha haya mambo na waganga, halafu by coincidence ukafanikiwa kipindi kile kile ulichoenda kwa mganga, kitakachofuata hapo ni kuwa mtumwa wa mganga!

Ukishaamini tu kwamba hilo kawezesha mganga, basi kila jambo likitokea, break ya kwanza kwa mganga akawezeshe!!!

Balaa lingine, uwe na familia halafu ume-hustle sana kutafuta maisha! Unfortunately, unapoteza mtoto au mke, kisha unakuja kukutana na ki-smart kama kile cha Billionaire Laizer!!!

Yaani hapo moja kwa moja raia lazima wahusishe tu na kifo cha mwanafamilia wako kwamba umeshapiga makafara!!! Hatuamini kabisa kwamba mtu anaweza kufanikiwa bila ya nguvu za giza!!

Hivi dunia hii kuna uchawi kwenye kufanikiwa zaidi ya uchawi wa "Know Who" a.k.a Uchawi wa Connection?!

Yaani leo hii mimi na Wema Sepetu kila mmoja aanzishe mgahawa wake, lakini ubora sawa, na eneo letu la biashara ni moja halafu eti mimi ndo nipate wateja wengi kuliko Wema eti kisa nimeroga!!

Nitakuwa mgonjwa akili!!
 
We msichana upo kwenye ndoa mpya na Mwarabu kwahiyo hata sokoni anaenda yeye, nini?! Mbona umeadimika hivi?!

Mpenzi-rafiki mie wa ndoa basi? Ni wewe tu umenichunia ati kwa sababu Laizer wa Tanzanite ni nduguyo! [emoji3] vibaya hivyo....
 
Back
Top Bottom