Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Kalewa togwa...
 
Nikiri, uhakika na maneno hayo yamesemwa na Fatma kwasababu sikumsikia
Lakini naamini kwa ukubwa wa suala zima na hadhi yake, asingekaa kimya muda wote huo

Kwa 'dhana tu kwamba amesema' Fatma Karume amefanikiwa sana hasa ukiusoma huu uzi
Fatma amecheza ngoma ya CCM inayopigwa kila uchaguzi ukikaribia

Si Fatma tu , yoyote anayetoa madai yenye hisia za udini ana wajibu wa kueleza, kufafanua au kutetea hoja zake kwa ushahidi na vielelezo, sijui kama Fatma amenukuliwa nusu nusu. sina uhakika

Nina uhakika na kitu kimoja, Fatma ni miongoni wa watu waliopigania Katiba mpya mwanzo kabisa akiwa na kampeni ya '' all white' na Maria Sarungi'. Ni mtu aliyeipinga CCM kwa nguvu za hoja na hata vioja ikibidi. Aliichukia

Tangu Rais SSH aingie madarakani Fatma amezalliwa upya, si yule tena.
Ni ' mkimya na mnyenyekevu'' akiyaona yale aliyokemea sasa ni mazuri. Si Fatma yule, mwiba kwa Magufuli.

Hili linanitia shaka kwamba huenda kayasema hayo maneno ili acheze karata ya kizimkazi. Fatma alikemea Chato

Huenda ni sehemu ya kampeni kuisaidia timu yake ya zamani katika usajili mpya chini ya kocha kizimkazi
Fatma anacheza mirindimo ya Lumumba lakini kwa staili ya ngoma ya msewe! kutoka Zanzibar

Swali linalowavuruga wachambuzi na watambuzi ni hili, ni kipi kimebadilika kutoka JPM hadi SSH?
Tena sasa tuna nyongeza ya Sukari achilia mbali mgao wa mwanga! Fatma kipi kilichobadilika?

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Huyu Fatma ninani na nishangazi wanani? kaifanyia Nini hii nchi, ni raia wa nchi gani kwani maana hatuna "dual citizenship"?
Anataka tuamie chama cha diniyake yeye na kina Zito ndiyo sahihi??!
Kwanini anapenda kuiongelea Tanganyika kuliko kule kwao?
Anatumia kivuli Cha uwanaharakati uchwara kumuuza dadayake kijanja ili apate uraisi? na anataka aibomoe cdm anayojidai anaipenda?!!!
Hakuna propaganda itayotuteka tunajitambua yeye aendelee kushika mazwazwa!!
 
mie tena ni endeleze uchochezi?🐒

mie sio yeye 🐒

aelezee udini wake huko sio mimi kuelezea jambo hilo la aibu na la fedheha kwa Taifa 🐒

kuzungumzia dini isiyo kuhusu katika siasa ni kufilisika kwa hoja na mipango 🐒
"kuzungumzia dini isiyo kuhusu katika siasa ni kufilisika kwa hoja na mipango 🐒", ndicho ninachotaka ueleze alichozungumzia, kumbe unakijua.
 
Nikisikia jina Fatuma nalikumbuka jiwe kuu la usiku la miaka ya 1980 na ya 90, tisa nje tisa ndani.
 
Tatizo ni jambazi ameokoka, na sasa Kwa kiburi na majivuno anatamani kuchukua hadi nafasi ya mungu ambae ndio aliemuoka kwenye dhambi ya unyang'anyi, uporaji na pengine mauaji ya sio na hatia 🐒
 
Shangazi ameolewa? Ninataka kuonyesha nia ninaomba mwenye mbinu zitakaxo nifanya nipate hili jiko tafadhali
 
Na kisha tukishawakataa kama ukoma badala yao tuwape kura zetu akina nani watakaotufaa kuongoza hii Nchi ili tufikie Nchi ya Ahadi ???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…