Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Pazito hawa CHADEMA wapuuzi sana mara watukane Waislam mara watukane Wasukuma kisa hawawaungi mkono! Waacheni nchi wataisikia kwenye magazeti most of them are sadest!
 
Mbona CCM inaongozwa na vichaa, Malaya na wagonjwa wa ukimwi, au tukutajie?
 
Halafu cha ajabu hata wewe sina hakika kama una akili timamu. Hatuchagui chama kwa sababu ya mahaba kama Yako, ambayo hata wenzio wanatilia shaka uwezo wako wa kufikifiri, ndio sababu unebakia wewe tu kudaka kila kinachotupwa humu.
Tunachagua chama kitakachoondoa kero za kijinga ambazo ziko kwenye uwezo wetu kuzitatua na waliopo Sasa wameshindwa.
1. Kero ya umeme, Rais aliliambia taifa mwisho wa shida ya umeme ni machi 2024, bunge ambalo limejaa wanaccm limeonyesha mashaka juu ya kauli yake limeongeza mpaka juni na hawajataja mwaka. Kimsingi hawaamini kauli ya Rais,ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm.
2. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema chama chochote kinachofirisika kisiasa hutafuta visababu vya hovyo kuhusu matatizo yanayowakumba wananchi, tuambie, hizo mvua zinazotajwa kuwa sababu ya kukosa sukar,i zinanyesha Tanzania peke yake?!! Na vipimo mabwawa ya umeme,utatuambia majina yote yameelekezwa JNHP.
3. Hizo kero anazoambiwa Makonda nani amezileta? Na kote alikopita nani amewajibishwa?
4. Ninachoamini ccm ikiacha unafiki na wewe ukiwemo kuna mahali tutafika, ni hasara sana nchi kuwa na vijana wa aina Yako,natamani ungekuwa Mzee tukitujua muda mfupi ujao tutapumua.
 
Namna pekee ya kuwajua Watanzania kama wana akili timamu, au la, ni TUME HURU YA UCHAGUZI.
Chama chochote kinachoogopa Tume Huru ya Uchaguzi kina mambo mawili.
Mosi, kinawadharau sana Watanzania.
Pili, labda kimeng'amua kuwa hakina Wapigakura.
Haya mengine yanayoandikwa ni kuganga njaa.
Tupiganie Tume Huru ya Uchaguzi ili tujue Watanzania wanataka kuongozwa na Chama kipi
 
Kwa hiyo baada ya kutoka Vatican, wanaona wamesawazisha?
 
Marais wengi waislamu kuanzia Mwinyi mpaka mama, huwa wakati wa Uongozi wao hupata misukosuko sana kutoka ndani ya mifumo naa nje ya mifumo.
 
Haya hivyo dada chadema wanaweza kuwa wadini ......ila waislam tanzania 32% ...pagans n din zingine 18% ...50% wakristo

Hizi data za zamani sasa hivi wanaweza kuwa wengi zaida maana sub saharan ukristo unakuwa kwa kasi ...ila kwa dunia uislam unakuwa kwa kasi sio kwa watu kuhamia ila ni kwa kuzaliana
 
Dini,rushwa,ukabila, virus vinavyoitafuna Afrika
 
Wenye utaahura kama wewe ndo wataikataa chadema
 
Siku hizi wameongezewa jina zaidi ya nyumbu ambalo ni Kenge wa mzee Mbowe
 
" ...'Wakitema shauri yao'..."

Ngoja wameze hii kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…