Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Sawa ngoja nimsubiri aje chuoAkifukuzwa kwao una pa kumuweka dogo? hebu acha kulazimisha mambo na mabinti wanaoishi kwa wazazi!
Sawa ngoja nimsubiri aje chuoAkifukuzwa kwao una pa kumuweka dogo? hebu acha kulazimisha mambo na mabinti wanaoishi kwa wazazi!
Huko ndo pazuri, ila huku gizani, mara kwenye vichochoro kama vibaka, hata hakuna raha! au ni mimi na uzee sielewi mambo yenu vijana 🤣Sawa ngoja nimsubiri aje chuo
mwisho wataumwa na nyoka huko vichakani..Huko ndo pazuri, ila huku gizani, mara kwenye vichochoro kama vibaka, hata hakuna raha! au ni mimi na uzee sielewi mambo yenu vijana 🤣
Duh umetisha😂
Usiogope, nitakufundisha 🤣🤣Duh umetisha😂
Yani, wana heka heka sana 😅m
mwisho wataumwa na nyoka huko vichakani..
Umesikia masharti yake lakini?Huyo ndo namtaka aje aniharibie uvulana wangu 😎
Hamna sio vichochoroni bhana 🤣Huko ndo pazuri, ila huku gizani, mara kwenye vichochoro kama vibaka, hata hakuna raha! au ni mimi na uzee sielewi mambo yenu vijana 🤣
Niko vzr mmUmesikia masharti yake lakini?
Sasa mngekutania wapi?Hamna sio vichochoroni bhana 🤣
Si ilikuwa naondoka nae 😃Sasa mngekutana wapi?
Kwenye range yako uliyokua umepaki pembezoni mwa barabara au 🤣🤣🤣
Nakuaminia kabisaa mtaalamu 😅Niko vzr mm
Heee usiku huo 😅??Si ilikuwa naondoka nae 😃
Si ndo nilikuwa namjaribu tuHeee usiku huo 😅??
Ghafla kwenye pita pita zako unakutana na dada wa baba yako huko youtube anatafuta kakijana ka kumliwaza.
Amewasemea vizuri mashangazi, wazee wenzetu pumzi zenu hazitoshi, mnatuacha na kiu![]()
Shangazi tokea Mtwara
View: https://youtube.com/shorts/nHQ4pC_iCB4?feature=share
Kijana wa TAGDogo mboneke nimemkubali sana , ana kipaji,siku nikipata pesa nitampeleka marekani
,,
Wewe pumzi unazo mdogo wangu...Mshangazi ana lafudhi ya wapi! Ntwara?
Ila me huyo wa katikati...tumwite mtangazaji...ndio amenichekesha