Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

Kulombana ndio kufanya nini? Naomba tujulishane😂
Kama wewe bado una uvulana wako, najitolea kukutoa seal mkuu!

giphy.gif
 
Vipi jambo lako umefanikiwa au bila bila?
Kuna mmoja nimekubaliana nae kesho halafu kuna mmoja nimemjaribu tu kwa kumtania usiku huu kwamba nipo karibu na kwao namsubiri aje akaniambia anakuja mara ghafla akaniambia mama yake amemkamata so haitawezekana kumbuka hapo nimemdanganya tu 😃
 
Naona mapambano bado yanaendelea 🤣, huo mwezi wako wa kutikisa nyavu sana, ila punguza uongo basi 😅
 
Hana lolote si angetoka nje yani kajifanya ndo natoka chumban nafika sasa hiv halaf baadae kidogo anajifanya mama ake kamkamata
Akifukuzwa kwao una pa kumuweka dogo? hebu acha kulazimisha mambo na mabinti wanaoishi kwa wazazi!
 
Back
Top Bottom