PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel.Trump amesema Mike anaipenda Israel na watu wa Israel
Huyu Mzee ni MYAHUDI pure MTU ambaye anaichukia Palestine kwelikweli anaenda kuiwakilisha marekani, huu ni uteuzi wa Kwanza kabisa WA kibalozi yaani Israel ndiyo nchi ya Kwanza iliyopewa kipaumbele na marekani Kwa kupewa zawadi ya BALOZI alafu nchi nyingine zitafuata.
Toka Jana kumekuwa na shangwe kuanzia viongozi wa Israel Hadi wananchi Kwa ujio wa huyu master wa kuuwa wapalestina...Kwa mbali naona Gaza inaenda kufanywa makazi mapya ya wayahudi
Acha tusubiri tuone itakuaje