Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Israel ni kama saa ya Ukutani...Unaoonyesha bado muda gani kufikia muda flank,,na pia inaonyesha wakati tuliopo ni mda gani....Kuna series ya matukio makubwa yanakuja na yenye ishara ya wakati......
Mfano ushoga unaenea Kwa Kasi na kuna vikundi vinajitahidi kuharibu mpaka wanaume rijali wawe mashoga,,,hakuna aliejiuliza ushoga ni dalili ya nini,,,,na unaipeleka dunia kwenye mda gani unaokuja??? Israel anayachukua maeneo yake yote kisheria,,, Implications yake ni nini?? Kwenye huu wakati...Muda utatuambia Tu.