Daa; kuna sehemu hata moja nimemtaja Trump? Nilikua najibu kuhusu Wayahudi ambao ni Wakristo; genetic za Trump mimi sizijui; may be yes ni Myahudi, may be No; I'm not sure.
Umeniuliza pia kuhusu Uyahudi kwamba ni kitu gani? Samahani najua nitajibu majibu ambayo wengi wenu humu ni kama kitakua kitu kipya. Neno Wayahudi halionekani popote kabla ya mfalme Suleiman, neno hilo yaani Myahudi, Wayahudi or Jews in English limeanza kutumika baada ya mfalme Suleman kufariki na kuzikwa, now I will tell you how and why?
Kabla na wakati wa mfalme Suleiman Israel katika mipaka yake walikaa kwa makabila yao 12 katika nchi moja hi inayopiganiwa leo; Suleman aliingia Ikulu akiwa mfalme ambaye hana uzoefu wowote wa vita tofauti na baba yake Daudi and hence, njia ya yeye kujihami asishambuliwe na maadui, aliamua kuoa watoto wa wafalme wa nchi jirani, alipita na binti wa (nitataja majina ya nchi zinavyo tambulila leo ) mfalme wa Iraq, Iran, Syria, Jordan, Misri, Lebanon nk, na ni kweli katika utawala wake hakuna mfalme aliyeishambulia Israel na hakukuwahi kua na vita Israel hadi anakufa BUT remember kitendo cha kuoa wanawake ambao sio Waisrael wenzie kilikua kinyume na mafundisho ya Kiyahudi na kimsingi hata yeye alikengeuka sana kiimani hadi alipokaribia kufa ndio akamrudia Mungu wake na kutengeneza; baada ya kifo chake na mwanae kukaa madarakani ndipo wana wa Israeli wakaona hawawezi kutawaliwa na mtu ambaye hajalelewa kiimani amd hence out of 12 tribes, makabila 10 yakaasi utawala wa mtoto wa mfalme na kuhami Samaria (leo ndio Syria ) na mji wao ukawa Damascus and Jerusalem yakabaki makabila 2, Yuda na Benyamin, na hapa sasa kuwatofautisha Waisrael walioko Syria/Samaria na Waisrael waliobaki Jerusalem ikawa ndio hi, Wayahudi (linatokana na kabila la Yuda ) na Waisrael.
Sijui kama nitakua nimekataka KIU yako.