Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

chezea ndoto za kuhama nyumba za kupanga wewe? hata mimi nahisi akija kwa style hiyo sichomoi

teh teh
Hahahahaaa unaweza kuta anaekupiga hiyo fix hata chumba cha kupanga hana anaishi gheto kwa rafiki yake......TUWE MAKINI dear
 
hahahhahhahaha
mbavu zangu jaman...ndo hivyo wakati mwingine ametumwa benki anapitia kwangu na kusema ndo naenda kulipa ile advance ya kiwanja..hata kuomba hela za nywele unampumzisha kwa muda kumbe fix tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajikuta unampa vyote tena kwa ufundi kabisa ili kumhamasisha kumalizia malipo kumbe..... Ila hawa watu wanafix hatari!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajikuta unampa vyote tena kwa ufundi kabisa ili kumhamasisha kumalizia malipo kumbe..... Ila hawa watu wanafix hatari!
na waendelee tu ili tuendelee kufurahi...hebu piga picha hiyo furaha unayopata kuambiwa naenda kulipia kiwanja..hakika nakwambia hata mtu akikupiga kofi huwezi sikia

teh teh

Na kiuno siku hiyo unashangaa mbona kimekuwa kilaini?
 
Ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanivunja mbavu ujue!
Umenifanya nikumbuke ahadi hewa nilizowahi kupewa zikanifurahisha mpaka basi.

Ila kweli wanatuongezea siku za kuishi maana si kwa furaha ile unayoipata
 
Mimi huwa MWANAMKE akinikataa huwa situmii NGUVU NYINGI,,, akishanipa namba YAKE basi huwa ASUBIRI kunipa PAPUCHI...nikiwa ktk PIRIKAPIRIKA ZANGU ZA KUTAFUTA,,,Mara nyingi nakuwa natumia WHTSAP NO YA TANZANIA,,,lakini pengine sipo hapa TANZANIA,,,nakuwa nabadilisha PROFILES PICHA ZA KUFA MTU,,huku nikiwa simwachi SALAMA,,,salamu kama HEY CUTE,,,MAMBO MTOTO MZR?ni vitu vya kawaida kwngu KUM TEXT,,,sometimes nampigia calls na UNKOWN NO,, huku namtupa nipo DC,,au SWISS ni kawaida,,KWA HAWA DADA ZETU WAPENDA VINAVYONG'AA HUWA HAWAKWEPI SHOKA LA MSOLOPA GANZI,,,,hakuna wa kunitosa labda AWE KIPOFU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…