Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

Babu ina maana hata bibi ulimuuliza swali kama hili? Maisha yetu wajukuu zako yapo very complicated kwanini unataka tuya complicatishe zaidi?
Sijawahi kumuuliza. Nilitaka tu nijue kama alimuuliza ili nimpe ushauri. Sasa maadam amegoma kunijibu mi sina la kuongeza tena
 
Swali linaeleweka, maswali yako ni kama unamcriticize hiyo Mdada alivyomkubalia kirahisi ktk muda mfupi, Je huko nyuma miaka 5 amepitiwa na wangapi, tukuulize nawe je huko nyuma miaka 5 hiyo umewapitia wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu lilikuwa nijibiwe ndio au hapana. Then baada ya jibu ndo ningeweka hoja yangu sasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanivunja mbavu ujue!
Umenifanya nikumbuke ahadi hewa nilizowahi kupewa zikanifurahisha mpaka basi.

Ila kweli wanatuongezea siku za kuishi maana si kwa furaha ile unayoipata
yaani tuache tu kujibaraguza na tuseme ukweli tunafurahi sana
wacha kabisa, mimi nasema na waendelee tu hivyo hivyo
 
Duh mbona haijaonesha km alikukubalia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiulainiii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo hujawahi kutoswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…