mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 989
- 610
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa unaweza kuta anaekupiga hiyo fix hata chumba cha kupanga hana anaishi gheto kwa rafiki yake......TUWE MAKINI dear
Nina mwaka bado nafukuzia na sijakata tamaa ila hela tu ndo zinatumika kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Baba daaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah...nilikuta naye ndani ya mwendokasi...nikamwambia atafute kiwanja Kariakoo nimnunulie....nikamla siku hiyohiyo...😎
shukrani mkuu
Tusaidie n sisi tuweze kupata w akwenye mwendokasishukrani mkuu
mkuu panda mwendo kasi alafu wahi siti. ukiona mrembo mzuri uliyemwelewa kasimama, mwite mpe siti, then kituo atachoshuka,shuka nae umwombe namba ukamtie soundTusaidie n sisi tuweze kupata w akwenye mwendokasi
Ili iwejempesa tigopesa airtelmoney halopesa Tpesa.
Akakubali siyoMi nlianza kulike posts zake, halaf nikaenda PM nkamwandikia "I like your attitude"
Unachosema ni sahihi. Ni watoto tu wenye hizo itikadi za kuzungushana sijui maweek au mieziNdio maana nikasema hakuna specifi time
Haaaaaaaaa mkuu, tofauti ya demu na mwanamke ni nin?Nilimwambia SIKUHITAJI KAMA DEMU NAKUHITAJI KAMA MWANAMKE, demu wangu Mpaka leo anadai hakuna verse kwa mwanaume amewahi kuielewa kama hiyo
Hahahaa si Kudanganya tu Mkuu, Hawa usipowadanganya huambulii kitu!Haaaaaaaaa mkuu, tofauti ya demu na mwanamke ni nin?
Shukuru mungu gari lilikupa mkeWoyoooooooooo
Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line?
Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na ku exchange number.
Sikumpiga sound bali tulichati for two weeks ivi nikamwomba nimtoe dinner. She accepted na nikamfata na gari hadi kwao tabata. Nikamchukua na kwenda eneo flani amazing kule mbezi beach. Alikula na kunywa alichokipenda. Wakati namrudisha kwao nilisimamisha gari umbali km wa dk 5 hivi na kwao and tried to kiss her. Hakukataa.... I kissed her for about one minute then nikamdrop home.
From that day akawa wangu hadi sasa ni mke wangu wa ndoa.
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah...nilikuta naye ndani ya mwendokasi...nikamwambia atafute kiwanja Kariakoo nimnunulie....nikamla siku hiyohiyo...😎