Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Endelea kuwaamini wanasiasa wanaokutumieni kisiasa
 
Umesahau kuwa jinsi dunia ilivyokuwa ina run 1980 ni tofauti na 2020 , dunia ya Leo tunategemeana mno. Ndio maana hamna nchi iliyoendelea kwa kutegemea wawekezaji wa ndani pekee.

By the way nje ya mada ivi ni nchi gani iliyotuletea mahindi ya njano kipindi like tuna njaa Kali miaka ya '80'?
 
Anataka kuleta ujamaa kwenye ulimwengu wa Sasa wa economic integration huwezi endelea bila kuliwa
 
Kama hawa wawekezaji wameondoka basi ni ishara mbaya kwa uchumi wetu!
 
Naantombe Mushi naomba utuletee mrejesho hawa jamaa wamemuuzia nani share zao.
Aisee hapa itabidi tumtafute mtu wa ndani wa DSE. jana nlijaribu kucheki report ila bado naiona kama ni buyback ya NMB.

Kuna wanasema eti ni transfer ila bado haijawa confirmed, nadhani kda utaongea.
 
Amezinunua Arise Foundation..ambao ni wa Dutch hao hao..Arise is comprised of Norfund(Norwegian Investment fund),FMO(a Dutch development bank) and Rabobank
Hii ni habari ya 2016, ila mpaka sasa bado hatujaambiwa nani kazichukua. So nadhani watu wa finance wa NMB, BOT au DSE wanaweza kutusaidia kwenye hili
 
ilikuwa hata haiaminiki wakihisi inaweza kutangazwa mufilisi na pesa zao kufia humo..heko yao walimshauri mkapa fedha za mishahara zikapita kwao..wao wakanzisha mikopo ya wafanyakazi..ambao hakuna benki iliyokuwa inaweza kuwaamini bila biashara kuwakopesha wafanyakzi siku hizi ndio zinajaribu kwa kuwavuta kutoka nmb...Huyu mdach kuondoka tabu itarudi miaka ile au..tabu mpya inakuja
 
True kabisa
 
Board of directors bado serikali ina uhuru wa kuteua wakurugenzi ila ceo ambaye ndio mtendaji mkuu wa NMB bado atakuwa mtu kutoka nje...
Si ndo hiyo imeshindikana, CEO wa nje si ndo alipigwa fitina na ndo tifu kati ya serikali na rabobank. Huyu mama mbongo amepatikana baada ya shinikizo la serikali
 
Hii ni habari ya 2016, ila mpaka sasa bado hatujaambiwa nani kazichukua. So nadhani watu wa finance wa NMB, BOT au DSE wanaweza kutusaidia kwenye hili
Kumbe hata huna uhakika na unachokizungumzia hapa mpaka ukaulizie??

Hatupotezi muda kujadili mambo ambayo mpaka anayeleta akaulizie tena kwa mtu mwingine.

Mnaharibu credibility ya JF.
 
Tunapenda sana ku complicate vitu, watu washaweka maelezo ya NMB nini kinaendekea ila kuna watu wao kubisha tu.

Ugumu huko wapi kuelewa ya kuwa Rabobank, Norfund na MFO; wameamua kuungana na kuunda ‘umbrella company’ itakayoitwa Arise-Investment (Arise Investment - Investing in Africa's Local Prosperity)

Makubaliano ya muungano wao kila mtu akabidhi asset alizokuwa nazo binafsi zisimamiwe na Arise-Investment.

Katika kutimiza wajibu huo Rabobank wamepeleka transfer of shares request ziende kunakohusika, zinaonekana vipi DSE kama zinauzwa ilhali ni swala la transfer; probably ni process za sheria tu.

In other words kwa prospective buyer mwingine akitaka kununua awezi pewa kampuni ina haki ya kukataa pia kuuza ata kama share zinaonekana zipo sikoni.

In the real world shareholder mkubwa anapouza share zake zote hakuna mtu mwenye akili timamu atakimbilia kununua lazima shirika linaelekea kufilisika na ingelikuwa ivyo hiyo bank ingeshakuwa chini ya mikono ya BoT wana limit za reserve asset ili watu wasipoteze savings zao zote; kabla bank kuu aijaingilia kati.
 
Tunashukuru kwa hii taarifa. Inabidi kuwa makini na viakiba vyetu huko NMB.

Baada ya mwaka mmoja hadi miwili, tutajua kama kuondoka kwa huu mtaji wa shareholder wa nje imeiathiri vipi NMB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reference yako ni ya mwaka 2016 soma vizuri

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Reference yako ni ya mwaka 2016 soma vizuri

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna watu kadhaa wamewawekea link ya public announcement from NMB kama ujaisoma hiyo hapo


Link ya Arise-Investment hiyo hapo chini kuelezea muungano wao na asset zao including za NMB kinachofanyika ni transfer of assets tu kutoka kwenye kampuni tatu tofauti na kumilikiwa na kampuni moja ambayo ni Arise.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…