Haihitaji mtu wa ndani, tumia kichwa chako kwa dakika tano tu inatosha kupata majibuJamani eeeh.. mtu wa ndani wa NMB tunaomba mjazie nyama kwenye huu uzi..
Kwasababu mnaishi kichawi kila linalotokea mtalihusianisha na uchawi. Huo ni mfano tu, sijasema wewe mchawi 😂 maana akili zingine kung'amua yasemwayo ni ngumu.Swala la Rabobank kuondoka nilisikia fununu toka 2018 ndio maana CEO Busmakers alitema mzigo na NMB kuchagua CEO mzawa, shortly Rabobank iliibeba sana NMB
Naona harufu mbaya kwa NMB
Maombi yetu yamejibiwa, mgeni kaondoka mwenyewe.
Benki inayofanya miamala yote ya serikali haiwezi kumilikiwa na wakala wa nje.
Na taasi ya kifedha kubwa kuliko zote nchini haiwezi kuwa benki ya kigeni.
Julius Nyerere, aliyetumia kila pumzi ya maisha yake kutetea utashi wa Mwafrika, amefufuka katika wafu.
Hii ni dalili ya NMB kushindwa kutoa mikopo mikubwa kwa wateja wake ikiwemo serikali kwahio hata miradi ya kiserikali kama elimu bure ita yumba kama jinsi miradi mingine ya serikali inavyo yumba sasa hivi.Napenda kutoa rai serikali isiingilie kati kutaka kukontrol the bank kwani itafanya hali iwembovu zaidi.
Sasa cha ajabu utakuta taasisi za serikali zinazuiwa kufanya biashara na hata bank hii
Yaani kila kitu BOT wakati hata hii bank na CRDB ni benk za umma..
Hatujui kabisa huu upumbavu unavyoumiza uchumi
Watu wenye akili ndogo kama wewe ndo
Usikute wanamshauri Rais now..
Hii Nmb ilikuwa benk benk ndogo kabisa
Ilianzishwa baada ya shinikizo kufuatia kuuzwa NBC..
Hawa wa Dutch ndo wameikuza hadi imekuwa Bank kubwa kuliko zote TZ..
Wenye akili za sisimizi ndo watafurahia kuondoka hawa wazungu
Nmb inakufa kama mwendokasi.Swala la Rabobank kuondoka nilisikia fununu toka 2018 ndio maana CEO Busmakers alitema mzigo na NMB kuchagua CEO mzawa, shortly Rabobank iliibeba sana NMB
Naona harufu mbaya kwa NMB
Mkuu post yako imeonyesha umahiri mkubwa wa kutumia uhuru wako wa kutoa mawazo zaidi kuliko uhuru wa kufiri hivyo kuleta taharuki isyo na maanaNi kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)
Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.
Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.
Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.
View attachment 1662012
View attachment 1662013
Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.
Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Mjumbe hauawi
N. Mushi
yuko sahihi wewe ndiyo muongoNa wewe hujui, wadutch wameichukua ikiwa tayari benki kubwa, fuatilia ujulishwe kwani kutojua wala sio kosa
Mkapa unamuonea bure mwache ampumuzike. Unaongea kana kwamba RABO BANK PLC uliwaleta wewe- eboKinachoendelea NMB ndan hukijui, hata wakati NMB anafloat share zake kwa mlioko nje mlihisi ni kwa kuwa NMB ilielekea kufa ila haikuwa kweli, ile ilikuwa muendelezo wa ubabe wa mkapa.
Wala hatukuhita wawekezaj kwa wkt ule.
Soma vzr historia ya NMB mpaka ikawa strong hivi, wakati inavunjwa kutoka NBC tulipewa majengo tu ila mtaji akapewa NBC na NMB ikabatizwa jina la benki ya makabwela wakina mkapa walijua inaenda kufa kinyume chake kwa sasa ndio babalao, hii taharifa muulize CRDB ndo anaujua ubabe wa NMB, baada ya CEO wao kuwa Bw Nsekela alichokifanya ni kuchukua cream yote ya staff wa NMB sasa kwa faida ndo tunamzunguka mara mbili km unabisha muulize au uliza
Acha kujitisha,mbia yoyote ana haki ya kuuza hisaLakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Asante sana kwa taarifa sahihi. Kumbe hawajaondoka bali waliunda holding company ambayo imemeza shareholders wale wale. Ningeshangaa mwekezaji ataachaje a very performing investment kama NMB. Siyo rahisi.Mkuu post yako imeonyesha umahiri mkubwa wa kutumia uhuru wako wa kutoa mawazo zaidi kuliko uhuru wa kufiri hivyo kuleta taharuki isyo na maana
About 14,700 results (0.42 seconds)
Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc. NMB Bank's largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise.
Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in ...
www.nmbbank.co.tz › investor-updates › 386-rabobank-...
Feedback
About featured snippets
Web results
NMB Bank gets new shareholder - The Citizen
www.thecitizen.co.tz › The Citizen › News › Business
20 hours ago — This comes after the bank's shares that were held by Rabobank - a Dutch ... had lodged a request to transfer its stake in NMB Bank Plc for ...
CMSA Approves Rabobank's share transfer in NMB Bank Plc ...
fullshangweblog.co.tz › Biashara
Translate this page
2 days ago — ... shares, which constitute a 34.9% stake transferred to Arise. The CMSA approval comes after Rabobank had lodged its share transfer request ...
Karibu- mtoa post mchochezi sana anataka kuifanaya serikali na Tanzania INAONEKANE SIYO RAFIKI KWA UWEKEZAJIAsante sana kwa taarifa sahihi. Kumbe hawajaondoka bali waliunda holding company ambayo imemeza shareholders wale wale. Ningeshangaa mwekezaji ataachaje a very performing investment kama NMB. Siyo rahisi.
Utakua muongo
Rabobank kajiuzia hisa yeye yeye mwenyewe?
I dont believe you....I just cant!
Labda huyo beberu alikuwa anamzuia Jiwe kufuatilia account za akina Mbowe na Lema
Benki zinapitia wakati mgumu sana kipindi hiki,Biashara nyingi zina struggle.Note that,mabenki kukua, yanategemea kukopesha wafanyabiashara,kama biashara haziendi impact yake ndo hiyo.High npl rates,Loss making,capital shrinking and eventually liquidation follow.FNB walifunga branch Sinza. DTB walifunga branch ya Mandela Road na ya pale Fire Kariakoo. Mambo ni mengi aisee.