Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Ninakubaliana na wewe.

Huyo uliyemjibu hapo katoa wazo la "kukariri".

Amesikia watu fulani wakisema hivyo, na yeye bila kulidadavua vizuri kichwani mwake aelewe ukweli wake, kalibeba tu na kulitupa hapa JF na yeye aonekane ni mjuaji wa mambo hayo.

Mashirika makubwa yanayofanya biashara kubwa, hasa hii ya ujenzi wa miundo mbinu toka China, karibu yote ni mali ya serikali ya China.

Ukisoma humu ndani ya JF kuna mijadala chungu nzima serikali ijiondoe kwenye uendeshaji wa mashirika kama TANESCO, wanataka makampuni binafsi ndiyo yawe washiriki wakuu wa kuzalisha na kutugawia umeme. Hawataki Tanesco iboreshwe, na hata kama pakiwepo ushindani iweze kushindana na kushinda.

Kuna vitu ambavyo serikali haiwezi kamwe kujitoa na kuwasukumia kila kitu hao 'binafsi' hata huko kwenye ubepari kwenyewe. Lakini hapa ukisikia mtu aliyekariri akirudia rudia hicho alichokaririshwa utadhani hakuna dhambi kubwa kuliko serikali kuwa na vyombo vyake vya kuhakikisha baadhi ya sekta haziachwi kuwa kwa mashirika binafsi.
Jambo muhimu hapa ni kuhakikisha watumishi wake inaowaweka kwenye mashirika hayo, wanayasimamia kibiashara na kuyafanya yatimize wajibu wao kwa wananchi.
 
Sometimes, kuna kikundi cha wafanya bishara Duniani wanataka kumkomoa Rais wa TZ, kwa sera zake, Maksudi kabaisa, Msukuma wa watu haju kinachoendelea Mabenkini humo~!!
Huyo sio msukuma bwana, wasukuma waga wana akili na wanapenda sana kushauriwa.

Magufuli anaficha sana kabila lake mpaka anajificha kwa wasukuma huku hata kisukuma chake ni kibovu, sijui yeye ni lugha gani anayoiongea kwa ufasaha. I just don't know.!!
 
Hizo ni ni shares za mwaka 2019 usilishe watu matango pori mwaka huu ni 20202
 
Ni vyema kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kabla ya kutoa taarifa kama hii ili usiwe sehemu ya upotoshaji.
Kusoma ni jambo lingine na kuelewa ni jambo lingine walimu walikuwa na kazi sana shuleni
 
Kama ni kweli ni jukumu la BOT kutoa ufafanuzi kabla ya kuzagaa zaidi hiz taarifa. Impact kubwa ni kuwa wateja wakubwa wanaweza kuamisha dhamana zao ghafla na kuathiri afya ya benki. Kama shareholder mkubwa chakua hela zake ilo si jambo dogo, inafikilisha sana.
 
Post nzur sana kuna baadhi ya mashirika hayafai kuachiwa na serikali hivi kama necta serikali ikijitoa inakuwaje? Lazima mkono wa serikali uwepo
 
Narudia tena sijakosea, hakuna full Democratic country in the World, Mwanadamu ni Mtata sana hasa Mwafrica hajulikani anataka nini? Mwinyi, Kikwete walikuwa extra demokratic figure! hamkuridhika, sasa huyu bado mnamsema mnataka nini???


Hata siku Mungu akija mtampinga tu!! binadamu alimpinga hata Musa wakijiulIza uhalali wake wa kuwaongoza wao kwenda nchi ya ahadi, wakamtaka Mungu mwenyewe ashuke kw nini Musa bana tumechoka sisi!!

walichokiona walimlilia Musa tena kwa mara ya pili kwa nguvu zooote!!!
 
Kwa maana hiyo serikali si ndo atakuwa main shareholder? Nataka kujua hilo kwanza halafu tuendelee
 
Hizi ndizo dalili za nchi kufirisika na uchumi ulivyo unapoanguka kila unachofanya inakuwa ni kutapatapa tu na hata kwa Nyerere ilikuwa hivyo hivyo.

Alitoa hotuba mwaka 1979 mwezi wa nne baada ya vita akatuingiza mkenge kuwa tuvumilie kwa miezi kumi na minane ikawa hadi leo.

Wanasiasa wenye militant attitude kama Magufuli sio watu wanaojua chochote kuhusu uchumi, wao wanachoweza ni kuharibu tu kwani hujifanya kuwa wanajua kila kitu wakati kichwani ni ganda tupu tu.
 
Mmm! hii kali!! kama ni hivo basi atakuwa mnyalenge! manake sisi wote humu tnajijua!!
 
Kazi ipo.
 
Kwa maana hiyo serikali si ndo atakuwa main shareholder? Nataka kujua hilo kwanza halafu tuendelee
Board of directors bado serikali ina uhuru wa kuteua wakurugenzi ila ceo ambaye ndio mtendaji mkuu wa NMB bado atakuwa mtu kutoka nje...
 
Nilivyoonaga yule mama mzungu CEO ameondoka nilijuwa tu tayari uswahili umeshaingia.
 
Uswalinganishe Rais Mstaafu Mwinyi na Kikwette na vitu vya hivyo hovyo!! Wale walikuwa wanapenda kila Mtanzania wawe na maisha mazuri, walikuwa hawaui wananchi wao na walikuwa hawawafilisi matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…