aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.