Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Bado kuweka Masai wakuzunguka na ng’ombe wakamilishe zoezi au waweke Bedui wakuzunguka na mbuzi na ngamia humo ndani (Hila sidhani kama Bedui watauweza mziki wa Simba akivamia mifugo).

On a serious note, hizo mbuga za kutengeneza aziwezishindana na vitu asili, watanzania acheni uoga.
 
mtoa mada acha upumbavu iyo ni zoo kama zilivyo zoo nyengine na haitaathiri chochote Kwenye utalii wetu zaidi ndio watazidi kututangaza.
Mpumbavu ni wew unayetokea ukoo wa wapumbavu
 
Kuna vitu waarabu na wazungu watafanya lakini hawatakaa wafanikiwe. Mojawapo ni hiyo kutaka kuweka mbuga ya wanyama Dubai. Yaani inabidi wahakikishe hadi majira ya mwaka ya Ngorongoro na Serengeti wanahamishia huko. Wameamua tu kujidanganya.
 
Pamoja na yote,wataiga lakini hawataweza, Mungu si mjinga kama wao, hata waige vipi mbuga zetu zitabaki kuwa juu, fisi anafurahi zaidi kula mizoga akiwa kwenye mbuga zetu za asili kuliko hizo za kutengeneza, na watalii watazidi kuja tu huku bongo. wawahamishe basi na wahazadbe na wamasai
Huyo fisi ni lini uliongea nae
 
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa

Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro

Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii

Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Tuendelee kusubiria CCM wstuletee mgombea au siyo?
Nchi imefikia pabaya
 
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa

Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro

Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii

Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Biashara ushindani
 
Back
Top Bottom