Ataelewa wapi wakati chuki za kidini zimewatawala?!!! Hamna kitu hapo ni chuki tu za dini. Wala hawezi kuongea lolote kuhusu zoo ulaya na maeekaniKuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.