Ndiyo wapewe wanyama wetu bure?Kuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.
Alifanyaje au ndo yule alouwawaga.Halooooo Peter [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2462134
Pamoja na yote,wataiga lakini hawataweza, Mungu si mjinga kama wao, hata waige vipi mbuga zetu zitabaki kuwa juu, fisi anafurahi zaidi kula mizoga akiwa kwenye mbuga zetu za asili kuliko hizo za kutengeneza, na watalii watazidi kuja tu huku bongo. wawahamishe basi na wahazadbe na wamasaiWaarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasahivi mtu akiwa zake mapumziko dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna serengeti kuna ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpka yale madaraja ya kamba kama ya lake manyaraView attachment 2462127
Hawa wanagusa kila sehem, sijui ile Project ya World Island iliishia wapi.Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasahivi mtu akiwa zake mapumziko dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna serengeti kuna ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpka yale madaraja ya kamba kama ya lake manyaraView attachment 2462127
Executive producer wa Royal TourAlifanyaje au ndo yule alouwawaga.
Unadhani Hata yakiwa na Hati miliki Nani atafatilia kama kila mtu Ana njaa ya pesa.?Hivi Majina Serengeti na Ngorongoro yana hatimiliki?
Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA