Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ni kweli mkuu, Alikuwa ni kipenz cha watoto... kaacha pengo kwao! RIP Sharo!R.I.P Shalo Millionea, yale matangazo ya Airtel na Mzee Majuto wameyatendea mema, watoto wanayapenda sana, hata mwanangu km analia akisikia moja kati ya yale matangazo basi anaahirisha kulia, anyway njia toka Segera hadi Tanga nyakati za usiku ni mbaya sana, ina kona nyingi na malori ukikutana nayo huwa yanawasha full light so yawezekana kilichowakuta timu ya prisons ndicho kilichmkuta Shalo na kwa Harrier na mwendo wake basi ikawa hivyo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
R.I.P Sharo