Hahahaa. Hawa marafiki wa kike mara mwisho kuonana nao ilikuwa tulipoagana asubuhi wao wakielekea shopping, sie tikielekea kibandaumiza tayari kucheki ngoma ya Man City na Southampton.
Mpaka usiku ndo tumemaliza kuangalia mechi ya Chelsea na Stoke, so tumeptia hapa kona bar kupata moja baridi kabla ya kuelekea kunako.
Sasa ukiangalia hapo washkaji siwezi watumia salamu as nilikuwa nao tokea moning kama unavyowaona akina Ntuzu, Katavi, Mentor, Mbu na wengine hapo kwenye picha tuliyotuma twita.
Ila napenda kumpa ushauri wa Bureeee...asioe huyo mwanamke hata akimkubalia.
||"You were too young to understand"||
sure sure mkuu, naenda kufanya hivyo very soon.
nimezungumza nae for more than 20minutes but hatuelewani.
I can move on kwa kweli.
ni miaka zaidi ya 6 sasa imepita without her.
Nilileta hili swala hapa kwenye public ili nijue msimamo wake wa mwisho.
then kauonyesha.
Nitaamua sasa.
moreen baby sababu anayoitumia ni dhaifu sana.
ila nimeona, umaarufu nao pia ni tatizo...!!!
We nawe sema Labda Umepata mwingine ama humpendi tena. Shoga ukipendwa pendeka bibi. .ala a. af y two gonna make a veery nice love storykila binadamu ana hisia m cwez kumkataza yeye kunipenda nakubali ananipenda ila kwa alichofanya sawa sio kizur .na m nilimkatalia kwa sababu kwa ninavyofikiria mimi huwez kukaa na mpenz wako miez sita bila mawasiliano m narud tunakutana hajanambia kama anamtoto nakuja kusikia habari juu kwa juu tuu ndo namuuliza anasema ndio sawa bt kwann alinifcha mwanzoniiiii????? pili maishani mwangu cpend kuwa mke wa pili that's all NIMEMALIZAAAAAAA
OKEY NIMEKUSOMA kijana motto wake kwann asiendelee na huyo alienae mpka arudi kwanguuu
narudi kwako kwa sababu nakupenda sana..
Hapa leo kuna nini?
hapa the issue is very simple, she doesnt love u anymore, na hilo alishaliweka wazi toka mapema, we unafikiri miaka yote hyo mliyopotezana alikuwa amekaa tu anakusubir wewe? Unanikumbusha bf wangu wa kwanza nae alinigandaga hv hv kama ww alikuwa hatak kunielewa kisa kantoa bi.k.ra wakat mwenzie nimeshamtoa moyoni na huko niliko niko totally in love kiasi kwamba nataman huyo nilienae kipind hicho ndo angekuwa my first balada ya yeye. Ushauri just bcz u r someone's first love doesnt me u r the love of her/his life, move on with ur life bfr its too late
Kuna tatiiiiizo kwani?
Uuuuuupo?
Eti mumie kuna nini hapa?
Mabinti kuna tatizo mahali?
Jamani jamani huyu paroko huyu mhh!!!!!!
haha nitakuja paroko
jumapili ya matawi kama sijaielewa
We njoo tu utaelewa hukuhuku!
yahh naweza sense kabisa mkuu juu ya dharau kubwa anayoionyesha hapa..
Sisi watu wazima wenye experience ya haya makitu tunakushauri kijanaACHANA NA HUYU MWANAMKE.
atakuumiza sana ukiendelea kukomaa nae,
kwanza unajidhalilisha ujue kuendelea kujionyesha how much umeoza kwake na umekwama......mapenzi yapo tuu, ila kama mwanaume unatakiwa upende nawe pia ujipende.........
yaani hapa unaonesha unapenda mpaka unajisahau wewe mwenyewe...........come on kijana, MOVE ON