She is here now, I need her back

She is here now, I need her back

Kwa kwel rudia utafit au endelea na utafiti....... Si unajua sio lazma respondents wote wawe sawa..

Ila watatu wote walikuwa na same habits,kulingana na nature ya utafiti unaweza kuconclude kuwa wengi watakuwa hivyo maana kupata binadamu watatu ambao wanafanana tabia za kipekee kama hizo ni rare.
 
Ok guyzz mshaurini uran but cio mmm cz siwez rud nyuma na uamuzi tayar nimeshautoa m cwez kuwa naye cio kwamba cmpend but cwez kumsababishia maumivu mwanamke mwenzangu ambaye na yy tayar anampenda uran pli mimi tayari nimeshampata ambaye ananipenda nami nampendaaaa

Ua such one hell of a strong woman...kama angekua hataki kuzaa na huyo dada angemwambia atoe...amzalishe yeye amuache ili huyo dada aolewe na nani??
 
Ila watatu wote walikuwa na same habits,kulingana na nature ya utafiti unaweza kuconclude kuwa wengi watakuwa hivyo maana kupata binadamu watatu ambao wanafanana tabia za kipekee kama hizo ni rare.

Me ntakutafutia watano wa kitofaut na hao watatu.....😉😉
 
narudi kwako kwa sababu nakupenda sana..

moreen haasemi kama ananipenda au lah!

Oh my dear. Samahani lakini nikwambie ukweli unakera. Sijui una umri gani, but you sounds insecure and in need a lot of love. Kwa kweli kwa hili hata Kaunga hawezi kukushauri ufanye maombi na meditation.

Seriously, huwezi kumtaka mwanamke akutamkie kuwa anakupenda au hakupendi. Kama kweli anakupenda lazima atakuambia bila ya wewe kumlazimisha. Kama hakupendi siyo lazima akuambie hakupendi kwa sababu lazima utajua tuu from her own actions toward you.

After all, she is not the only woman on earth. Stop being clingy. Clingy is very irritating. Let it go. Move on with your own life. You have got your own life, so focus on your life. Your child should be the most important person to you na siyo mwanamke uliyekutana nae enzi hizo mkiwa shuleni.

Tafuta thread ya Husninyo ya watu wasiobabanishwa na mahusiano soma baadhi ya mchango ya watu. May be you will learn something. Unaonekana kama hauko confident in yourself. Kama ungekuwa confident in yourself, usingekuwa obsessive na moreen baby.

Hata Kongosho, our expert of reading between the legs, atakuambia kuwa "Mtu anayejiamini anavutia zaidi kuliko fuata upepo."

The fact kuwa unampenda mtu does not necessarily mean that she must be with you.
You can still survive bila kuwa nae. Yes, you can. Tena utakuwa huru zaidi na independent. Pursue your own interests. Take care of your kid. Take him/her to places.

Instead of chasing
moreen baby let her come to you if she wants. If she doesn't want, then don't force her. Usimbane koo. Give her some breathing space please!

And respect her as a person and what she says. Hapo lazima atakuheshimu na wewe.

ninaye mtu na nna malengo nae we unadhani toka nipo chuo mpka sasa nina kikazi cha kujishikiza nicwe na mtu kwelii mmh haya amin unavyoamini bt ninaye mtu

I hope atakuwa amekusoma na kukuelewa. Tena akiendelea kukusumbua kwa njia yoyote ile, that can be regarded as harassment na unaweza kumripoti kwenye mamlaka husika ili wamshughulikie.

I like it when you said you can still be good friends. It is a good sign kuwa huna ubaya wowote nae. Anatakiwa aelewe hili and take it it on his chin and move on..

Baada ya hapo ndugu mtangazaji naomba kutuma salamu zangu za dhati kupitia redio yako kwenda kwa snowhite, Kongosho, bila kuwasahau ladyfurahia, Kaunga na miss chagga popote pale walipo.
 
Aiseee hata mim cpendi kuwa mke ma pili bt imeshatokea and i love my man kiukweli life goz on
 
The guy is so soft....
Be strong man songa mbele achana na hayo madude ya true love utakuja kuumia...
Wenzako wanaangalia mambo haya...
1. Je ananiheshimu na yeye kujiheshimu?
2. Je ananijali ??
3. Naweza ishi naye??
4. Then je ananipenda...
We weka upofu mapenzi mbele utakuja kulia mjini hapa miaka mi5 still unahangaika tu...

Me inaniuma maana nna kimeo kama chako na nimekikaushia ingawa nakipenda kufa ila huwa najiuliza je amepitia mangapi huko je atakua sawa na vile namjua?? Hata kama anakupenda sio sababu ya kurudiana...
Mzee haya maisha we weka mambo ya tamthilia humu utaumia....
 
Tuko KakaJambazi Ukwaju Was zion Kaunga EMT i salute you for the advice you tabled.nawashangaa wote wanamlaani moreen baby na kumlaumu wapi imeandikwa mapenzi ni lazima mbona hamuulizi uran where was he all those days mpaka aliposikia we radio presenter?after all if you read between the lines of what he narrate hakupendi kama anavyojipresent here its only when he heard something .yamenikuta sana haya and I never entertain.kaza msimamo wako my young sister na Mungu akupe desire of your heart atakayeendana na wewe na yeyote anayekutamkia mabaya make sure unayavunja more else unatamka yamrudie.avoir
 
Last edited by a moderator:
Pole Uran, ila mimi nina swali kwako kwa kipindi chote cha miaka 5, baada ya kupata mtoto na kutengana na moreen.
Je ulikuwa single au ulikuwa na mtu?

Na kama ulikuwa single kwa miaka yote kumbe unaweza ishi bila moreen, au hata kama ulikuwa na mauhusiano pia umeweza ishi bila yeye. Sasa ni kipi kinachokushinda sasa?

Ngoja nikwambie utasubiri sana moreen arudishe moyo kwako, utajikuta umeshazeeka.
Unafikiri bado anakupenda, ndio hope uliyonayo moyoni mwako.
Ila ogopa sana mwanamke akishasema am fed up. Atasahau kila kitu na kuacha maisha yaendelee.

Moreen mamii nakuelewa sana sababu zako, ila jipe muda kaa ongea na moyo wako, unahitaji kuwa na Uran au huyo mwingine. Bila hasira wala kuwaza chochote kibaya kuhusu Uran, angalia moyo wako unasemaje.

Uran pia jaribu kukubaliana na chochote, mapenzi yako hivyo. Kuna raha na karaha, kubali matokeo tu. Ulichopanda ndicho ukivunacho.
 
Oh my dear. Samahani lakini nikwambie ukweli unakera. Sijui una umri gani, you sounds insecure and need a lot of love. Kwa kweli kwa hili hata Kaunga hawezi kukushauri ufanye maombi na meditation.

Seriously, huwezi kumtaka mwanamke akutamkie kuwa anakupenda au hakupendi. Kama kweli mwanamke anakupenda lazima atakuambia bila ya wewe kumlazimisha. Kama hakupendi siyo lazima akuambie hakupendi kwa sababu lazima utajua tuu from her actions towards.

After all, she is not the only woman on earth. Stop being clingy. Clingy is very irritating. Let it go. Move on with your own life. You have got your own life, so focus on your life. Your child should be the most treasury person on earth na siyo mwanamke uliyekutana nae enzi mkiwa shuleni.

Tafuta thread ya Husninyo ya watu wasiobabanishwa na mahusiano soma baadhi ya mchango ya watu. May be you will learn something. Unaonekana kama hauko confident in yourself. Kama Kama uko confident in yourself, usingekuwa obsessive na @moreen baby.

Hata Kongosho atakuambia kuwa "Mtu anayejiamini anavutia zaidi kuliko fuata upepo." The fact kuwa unampenda mtu does not necessarily mean that she must live with you. You can still survive bila kuwa nae. Yes, you can. Tena utakuwa huru zaidi na independent. Pursue your own interests. Take care of your kid. Take him/her to places.

Instead of chasing
moreen baby let her come to you if she wants. If she doesn't want to then don't force her. Usimbane shingo. Give her some breathing space please!

And respect her as a person and what she says. Hapo lazima atakuheshimu na wewe.

I hope atakuwa amekusoma na kukuelewa. Tena akiendelea kukusumbua kwa njia yoyote ile, that can be regarded as harassment na unaweza kumripoti kwenye mamlaka husika ili wamshughulikie.

I like it when you said you can still be good friends. It is a good sign kuwa huna ubaya wowote nae. Anatakiwa aelewe hili and take it it on his chin and move one.

Baada ya hapo ndugu mtangazaji naomba kutuma salamu zangu za dhati kupitia redio yako kwa snowhite, Kongosho, bila kuwasahau ladyfurahia, Kaunga na miss chagga popote pale walipo.

We EMT yote kwa yote marafiki zako ni wa kike tu?:what:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

Nimezipokea kwa dhati ile ya moyo!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
BTW Kaizer kuna diskasheni gani hapa?

Mwalimu wangu kwani kunihuzunisha hivi? Tazama Muda wote huu nikikutafuta humu? Hadi nimekonda.

Haya basi uran anataka kurejesha penzi la zamani, afu tena anayemtaka hamtaki tena basi mtafaruku ndo tukimshauri apa afanyeje...
 
Last edited by a moderator:
nilijua baada ya kumaliza masomo na nilijua kipindi huyo mkeo anamimba ckujua alijifungua lin bali nilikuja kusikia anamtoto tuachanen na hayo najua unanipenda bt angalia maisha yako mi siwez tena kurudi nyuma najua maumivu nilioyapata na nilikwambia uniache nijue msimamo wako kama kwel ww hukuwa na mtu isingekuwa raisi kukubali matokeo mapema vile lakin nilivogundua una mtu ambaye tayar ni mjamzito nikajua kwann tulikuwa hatuna mawasiliano ok cwez kuwa wako tena jenga maisha na huyoo ulienae m na ww tutabaki mafriend tu sawa eehhh .... hata nikisema nikurudie wewe bado huyo ulienae ataumia kwa sababu yangu na inaonesha yeye aanakupenda sana bac kuwa naye huyooo

Mmmh nisingependa kuingilia mambo yenu lakini nimependa msimamo wako
 
Back
Top Bottom