Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

Kaka! Mapesa yote wanayofungia vyumbani kuna maana yoyote au mimi bado sijajua maisha?
Kwa nini wayafungie wakati kuna levels za matumizi zinazohitaji kuwa na hayo mapesa mengi.
Kwa mfano kupitia hizo pesa wakati wewe unaenda kufanya shopping Sinza
Fisadi anawaza kwenda Paris kununua boxer au Sigara.
Wakati mlalahoi anataka kununua malaya wa buku 20
Fisadi anaenda kutafuta kijiji cha malaya wa mamilion ili alale nao kwa zamu.
 
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.

Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake zimewekwa kufuli.

Passport wechukua, hata yule mzee kipindi anapiga Simu Ilikuwa tayari mikononi mwa wenyewe!

Ushahidi alotuma kule ni mzito sana eti wanamlazimisha atengue aseme aliwaingiza chaka, zimetumwa sauti kusema mambo yalikuwa shwari, hakuna aliyechafua mikono yake! Yule anaefufua watu naye inaweza isifike ijumaa akavuliwa nyavuni.

Kilichosikitisha wanajua kabisa kuwa Balozi mdogo aliliwa kichwa na order maalumu sababu ya kuweka siri nyingi hadharani kwamba alikiuka miiko ya siri zao za kazi.

Britanicca
Wanajitengenezea uhasama duniani na Mbinguni
 
Acha uongo wewe
Mimi bado nipo sana

1792073270993.png
 
Back
Top Bottom