Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unaweza ni moja ya vilaza kuamini muarabu ataleta manufaa kwa watanzania kwa mkataba ule wa IGASisi watanzania tuangalie uwekezaji unatunufaisha. Hilo ndilo jambo la msingi.
Haijalishi anakuja Mbrazili, Mwarabu, Mwafrika toka Nigeria au beberu toka Ulaya/Marekani.
Tatizo nchi hii vilaza wengi na kila mtu anawaza kuiba tu.
Kuanzia raia wanachagua viongozi hadi viongozi ni wizi na mbaya zaidi hakuna la maana sana wanafanya pesa hizi za wizi. Watajenga majumba mwisho wasiku hakuna atakayeishi, angalia project nyingi zinakufa miaka michache.
Kingine watatumia hizo pesa kutombea malaya na wanafunzi wa chuo na kuwaambukiza maradhi lakini pia wanawafanya hawa wanawake wawe na kiburi kwasababu wanapata pesa za bure kwahiyo hakuna chochote cha maana zaidi yakutengeneza kizazi cha wajinga.
Kulaumu wageni sijui waarabu au mabeberu ni kupoteza muda.
Hii Tanzania imeshaoza siku nyingi. Kutibu kansa nikukata mguu tu hakuna namna.
Soma na uelewe.Wewe ndio unaweza ni moja ya vilaza kuamini muarabu ataleta manufaa kwa watanzania kwa mkataba ule wa IGA
Uongozi tulionao ni mbovu sana tuwe makini na mama wa teuzi na tanguzi.Hawa watu unaowaita "Waemirati' actually ni "Waomani",kwa sababu until recently walikuwa ni sehemu ya Federation of Oman.
Kwa hiyo ni watu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga zamani kama alivyosema yule Sheikh wiki iliyopita.
Na huyu hayati Karume ndio mgomvi wao aliyewanyang'anya utawala wao,kwa hiyo wamekuja siku ya kifo chake.
Kwa hiyo mambo niliyoandika yanaweza kuleta taharuki? I hope so!