Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Kwaiyo na Wajerunani nao wake kuchukua reli ya kati
 
Mwenyewe amekwambia ni ya Waarabu waache wachukue chao

..kama Shekhe anataka bandari irudishwe kwa Waarabu waliokuwa wa kwanza kuijenga basi ilipaswa wapewe Waomani, sio Waarabu wa Dubai.

..lakini hata hao Waomani waliuza miliki yao ya ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki kwa Wajerumani, ambao walikuja kufukuzwa na Waingereza.

..Mwisho, kwanini Shekhe hazungumzii uboreshaji na uwekezaji uliofanywa na WATANGANYIKA ktk bandari ya Dsm? Huyo Muarabu alijenga gati ngapi, na za thamani gani, kulinganisha na uwekezaji tulioufanya?
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Namuona kichaa mmoja hapo kapagawa anaropoka tuu na udini umemjaa ,ushoga upo mikoa ya pwani sasa huko pwani wapo watu wa dini gani? Ushoga inafanywa kwa vitendo na waislamu wenyewe watu wa bara wala hawana mda nao
 
Huyu shehe ni mdini mpumbavu na hana akili timamu kama hao machoko mbona ukanda wenu wote wa pwani wamejaa wengine misikitini mnaswali nao? Hata wengine huko zenji mpaka mahabusu walibanguana kama asemavyo yeye mbona hawakemei au ndio michezo yao?
View attachment 2948132
Mashoga wote ninao wajua mimi ni waislam sasa sielewi huyu mbwa anabweka bweka nini , kwanza anaongelea mambo yaliyo mzidi umri na maarifa
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Boya huyo.Shule ni muhimu sana
 
Mtu mvivu aliyezoea kufugwa kama mbwa utamjua tu.
 
Ana mapovu yake ya kidini ambayo anataka kuyaficha kwenye suala la bandari na kuyachanganya hadi kwenye urais.
Huyu anatamani kupiga marufuku kula kitimoto hadharani hapa tz sa anashindwa
 
DK 2 sekunde kuanzia ya 3..
"Kama nyinyi hampendi ondokeni msikitini nitabakia na majini, kuna majini yamekuja hapa"

N.b sijaelewa hapo kwamba majini huenda msikitini?
Hao ni waumini wanaoheshimiwa na waumini
 
..kama Shekhe anataka bandari irudishwe kwa Waarabu waliokuwa wa kwanza kuijenga basi ilipaswa wapewe Waomani, sio Waarabu wa Dubai.

..lakini hata hao Waomani waliuza miliki yao ya ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki kwa Wajerumani, ambao walikuja kufukuzwa na Waingereza.

..Mwisho, Shekhe anazungumziaji uboreshaji na uwekezaji uliofanywa na WATANGANYIKA ktk bandari ya Dsm? Huyo Muarabu alijenga gati ngapi, na za thamani gani, kulinganisha na uwekezaji tulioufanya?
Haya yote huyu shehe hayafahamu. Anachotaka tu ni kwamba watanzania wakae kwa kutulia kwa kuwa wenye bandari yao wamekuja kuchukua kilicho chao.
 
Ndio maana Kagame anataka watu kabla ya kusalisha wengine lazima waende shule wasome vizuri waelimike. Ni hatari sana kuruhusu watu wenye elimu duni kuhubiria wengine.

Ni hatari kama hii aliiona Rais Kagame.

Ukisikia utumwa wa fikra ndio huu sasa. Hapa ndio nakumbuka ile kauli mbiu ya Mh. Lowasa aliyekua akiitamka mara tatu.
 
Hawa watu unaowaita 'Waemirati' actually ni 'Waomani', kwa sababu until recently walikuwa ni sehemu ya Federation of Oman.

Kwa hiyo ni watu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga zamani kama alivyokuwa anasema yule Sheikh wiki iliyopita.

Na huyu hayati Karume ndio mgomvi wao aliyewanyang'anya utawala wao, kwa hiyo wamekuja siku ya kifo chake.

Kwa hiyo mambo niliyoandika yanaweza kuleta taharuki? I hope so!
 
Hawa watu unaowaita "Waemirati' actually ni "Waomani",kwa sababu until recently walikuwa ni sehemu ya Federation of Oman.
Kwa hiyo ni watu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga zamani kama alivyokuwa anasema yule Sheikh wiki iliyopita.
Na huyu hayati Karume ndio mgomvi wao aliyewanyang'anya utawala wao,kwa hiyo wamekuja siku ya kifo chake.
Kwa hiyo mambo niliyoandika yanaweza kuleta taharuki? I hope so!
Ngoja tukamilishe na reli tuwapatie.
 
Hawa watu unaowaita "Waemirati' actually ni "Waomani",kwa sababu until recently walikuwa ni sehemu ya Federation of Oman.
Kwa hiyo ni watu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga zamani kama alivyosema yule Sheikh wiki iliyopita.

Things goes as planned, not happen unlucky
 
Back
Top Bottom