Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

Huo mwaka tayari Sultan wa Zanzibar alikuwa ameuza claim yake ya pwani ya Tanganyika kwa Wajerumani. Sasa waarabu gani hao walijenga bandari kwenye eneo la wadachi?
Inawezekana huyu shehe hata historia hajui.
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.

Mwaka 1896 tayari Mjerumani alikuwa nchini kwa miaka zaidi ya 12 hakuna jinsi angelimruhusu mwarabu ajenge bandari. Sheikh akajipange upye na aache kuwa kilaza pro max.
 
Huko BAKWATA hawana kitengo cha nidhamu, dah mtu mzima anawezaje tukana vile ndani ya nyumba mungu, mbele ya watu wazima wenzake, watoto na wamama.

BAKWATA inahitaji reforms kama inaweza wakalia kimya watu wa sampuli hiyo kuna tatizo.

Sawa atete anachoamini lakini ndio afikishe ujumbe kwa kutumia lugha chafu vile sio good representation kabisa kwa waumini, taasisi na sifa ya uongozi.
 
Ni tatizo la kisaikolojia mtu kuwa Africa, halafu ni mwafrika mweusi, then ukaanza kujinasibu au kujifananisha na race nyingine yaani waarabu, ukaanza jiona ni mojawapo na ukajiskia ufahari kabisa kuforce kufanana nao na ukaona ufahari kubagua waafrika wenzako na kuwadharau kwa namna yoyote na kuwaweka juu hao waarabu.

Huu ni ukosaji wa akili na utumwa wa kiakili mkubwa na ni tatizo la kiakili. Niseme tu hii tabia ifike hatua ikome na iachwe.
 
Na sijui mamlaka ha kuuza alipata wapi..Inabidi huyo mwarabu aliyepokea mpunga wa Mjerumani arudishe kwa Tanganyika wote na riba juu
Kweli kabisa. Kama ni hivyo basi mwarabu aporwe bandari apewe mjerumani kwa kuwa kipindi alichosema shehe nchi ilikuwa chini ya mjerumani.
 
Alichokifanya huyu Shekhe hakina tofauti na walichofanya akina Musiba, Sabaya na akina Hapi na wengineo.

Ni mwendelezo tu ili mradi kila mtu anakula upande wake.

Shekhe Huyu anatoa mameno ya kichochezi huku akijificha kuwa nyuma ya Rais Dr Samia.

Tunaamini haya hajatumwa na Rais
👍
 
Hawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Naungo mkono hoja na nakazia umaskini,ujinga,ubaguzi,udini,elimu duni ni sehemu ya uislamu
 
Ni tatizo la kisaikolojia mtu kuwa Africa, halafu ni mwafrika mweusi, then ukaanza kujinasibu au kujifananisha na race nyingine yaani waarabu, ukaanza jiona ni mojawapo na ukajiskia ufahari kabisa kuforce kufanana nao na ukaona ufahari kubagua waafrika wenzako na kuwadharau kwa namna yoyote na kuwaweka juu hao waarabu.

Huu ni ukosaji wa akili na utumwa wa kiakili mkubwa na ni tatizo la kiakili. Niseme tu hii tabia ifike hatua ikome na iachwe.
Na pia mtu akipata ilmu akhera akakosa ilmu dunia lazima aonekane kama punguani fulani hivi.

Kama wanaona uarabu ndio deal kwanini shule zao wanaziita Islamic SMINARY kwa kuzifananisha na seminari za kikristo?
 
Huyu kweli hana akili wazazi wake ndio wamemleta duniani lakini yeye anasema Allah ndio amemleta duniani kumbe ukizama zaidi kwenye hii dini ndivyo akili zinavyotoweka
 
Duh aiseee
Masikitiko makubwa sana! Huyu shekhe ubwabwa anaona hata kama tukirudi kwenye utawala wa kisultani ni sawa tu! Anaona kabisa kuwa wanaokosoa wote wa Machoko ina maana Wakristo kama wakosoaji wakuu ni Mashoga na akiwepo Mwarabu hapo bandarini hakutakuwa na ushoga maana Mwarabu na ushoga ni mbigu na ardhi! Hakika hawa jamaa nimeamini akili zao ni kisoda sana!
 
Ndo maana tunasema Hawa wenzetu hawwapo na sisi. Wanapeleka dini mbele.
 
Huyu Shei
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Huyu Sheikh ndo aliwahi kusema akienda Saudi Arabia huwa anapenda kwenda kuswali Kwenye Msikiti wanaoswali Majini!?
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Shehe akapimwe akili
 
Back
Top Bottom