Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
huyo mzee ni kama sio magomeni au tandika sikosei ndi hawa wakina abdul rogo akili visoda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Na sijui mamlaka ya kuuza alipata wapi..Inabidi huyo Sultan mwarabu aliyepokea mpunga wa Mjerumani arudishe kwa Tanganyika wote na riba juuHuo mwaka tayari Sultan wa Zanzibar alikuwa ameuza claim yake ya pwani ya Tanganyika kwa Wajerumani. Sasa waarabu gani hao walijenga bandari kwenye eneo la wadachi?
Kweli kabisa. Kama ni hivyo basi mwarabu aporwe bandari apewe mjerumani kwa kuwa kipindi alichosema shehe nchi ilikuwa chini ya mjerumani.Na sijui mamlaka ha kuuza alipata wapi..Inabidi huyo mwarabu aliyepokea mpunga wa Mjerumani arudishe kwa Tanganyika wote na riba juu
👍Alichokifanya huyu Shekhe hakina tofauti na walichofanya akina Musiba, Sabaya na akina Hapi na wengineo.
Ni mwendelezo tu ili mradi kila mtu anakula upande wake.
Shekhe Huyu anatoa mameno ya kichochezi huku akijificha kuwa nyuma ya Rais Dr Samia.
Tunaamini haya hajatumwa na Rais
Kwa Mujibu wa Shekh Nchi Pia ni ya Mwarabu akitaka atakuja kuchukua.Huyo shekhe ni mjinga na punguani! Apuuzwe
Yaani bandari ni ya mwarabu? Na hii nchi ni ya kina nani sasa
Naungo mkono hoja na nakazia umaskini,ujinga,ubaguzi,udini,elimu duni ni sehemu ya uislamuHawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Na pia mtu akipata ilmu akhera akakosa ilmu dunia lazima aonekane kama punguani fulani hivi.Ni tatizo la kisaikolojia mtu kuwa Africa, halafu ni mwafrika mweusi, then ukaanza kujinasibu au kujifananisha na race nyingine yaani waarabu, ukaanza jiona ni mojawapo na ukajiskia ufahari kabisa kuforce kufanana nao na ukaona ufahari kubagua waafrika wenzako na kuwadharau kwa namna yoyote na kuwaweka juu hao waarabu.
Huu ni ukosaji wa akili na utumwa wa kiakili mkubwa na ni tatizo la kiakili. Niseme tu hii tabia ifike hatua ikome na iachwe.
Masikitiko makubwa sana! Huyu shekhe ubwabwa anaona hata kama tukirudi kwenye utawala wa kisultani ni sawa tu! Anaona kabisa kuwa wanaokosoa wote wa Machoko ina maana Wakristo kama wakosoaji wakuu ni Mashoga na akiwepo Mwarabu hapo bandarini hakutakuwa na ushoga maana Mwarabu na ushoga ni mbigu na ardhi! Hakika hawa jamaa nimeamini akili zao ni kisoda sana!Duh aiseee
Huyu Sheikh ndo aliwahi kusema akienda Saudi Arabia huwa anapenda kwenda kuswali Kwenye Msikiti wanaoswali Majini!?Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Huyu waarabu wakimwambia abongoe kama anavyosemagaMwenyewe amekwambia ni ya Waarabu waache wachukue chao
Shehe akapimwe akiliShehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.