Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

Huo mwaka tayari Sultan wa Zanzibar alikuwa ameuza claim yake ya pwani ya Tanganyika kwa Wajerumani. Sasa waarabu gani hao walijenga bandari kwenye eneo la wadachi?
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Inshort ni hivi waislam elimu ndo shida
 
Wanaendelea kupanda mbegu chafu,hakika itaota na kuzaa matunda,waislamu sijui wana akili gani?.
 
Ndugu zao kama maandiko yao yanavyosema ALLAH aliumba wanadamu na majini wamsujudu
Yes. Hii pia niliwahi kuisikia ikitamwa na shehe mmoja msikitini.

Wakati wakristo wanakemea majini, waislamu wanayakaribisha. Kwa maana hiyo majini yataendelea kusumbua watu hadi Yesu atakaporudi.
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Hawa Dunia yote inajua hawanaga akili
 
Uislam siyo tatizo, tatizo umkute muislam ambaye ana ilmu ahera tu, elimu ya duniani hana🤣🤣🤣 hapo ni bora uishi na ngiri kuliko muislam wa aina hiyo.
ndo maana unakuta muislam anayejua nini maana ya maisha hafungamani na huo upuuzi, Tena wengine hupeleka hata watoto wao kwenye shule zinazomilikiwa na makanisa ili wapate elimu nzuri siyo shule zao, robo elimu dunia, robo majini, robo jihad, robo kuhamasisha ngono
 
Kwanini baadhi ya ndugu zetu waislam wanawaabudu hivi waarabu? Hivi mtu kama huyu anaweza kumnyima kitu chochote muarabu akitaka? Si atampa tu? Naogopa sana kuwaza kama rais wetu naye msimamo wake ni huu. Asipokemea hawa na kujitenga na misimamo yao kwa waarabu itaonekana na yeye ni kama hawa mashehe kwa kinachoendelea nchini. Hawa jamaa hata muarabu akisema anaitaka Tanzania leo watajiunga naye kutuangamiza tusio wa imani hiyo. Utumwa huu wa fikra unatisha sana. Hivi muarabu ni Mungu kwao?
Kwenye Uislam - Ndugu ya Muislam ni Muislam Mwenzake wengine wote ni Mafisi yasiostaili chochote ata uhai😭. So Wengine awana thaman ni Takataka tu....

View: https://m.youtube.com/watch?v=YKteg74cwmI
 
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.

Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.

Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.

View attachment 2948109

MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.

Nawasilisha.
Elimu changamoto sanaa,

Anajua Uarabu ndo Uislam, inasikitisha sanaaa,

Chuki hizi mwisho wake mbaya sana
 
Kwenye Uislam - Ndugu ya Muislam ni Muislam Mwenzake wengine wote ni Mafisi yasiostaili chochote ata uhai😭. So Wengine awana thaman ni Takataka tu....

View: https://m.youtube.com/watch?v=YKteg74cwmI

WanAtumiaa hayo mafundisho kupeana rasilimali za nchi sababu ni waislamu wenzao.. bila kuangalia manufaa ya nchi na vizazi vijavyo

Hawa jamaa ni wajinga
 
Huyo shekhe ni mjinga na punguani! Apuuzwe

Yaani bandari ni ya mwarabu? Na hii nchi ni ya kina nani sasa
Wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896. Wapeni bandari yao haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom