GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
This Imam is just a mouthpiece of a collective muslim psyche.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huyu fala tusadiki kwamba katumwa na Samia, siyo?Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Majini yanaswali kama kawaida ndo uislam unayaabudu.DK 2 sekunde kuanzia ya 3..
"Kama nyinyi hampendi ondokeni msikitini nitabakia na majini, kuna majini yamekuja hapa"
N.b sijaelewa hapo kwamba majini huenda msikitini?
Aiseee sikupata fahamu hili.Majini yanaswali kama kawaida ndo uislam unayaabudu.
Una maoni gani? THE BIG SHOWShehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Rasilimali zetu walizoiba anazijua?“Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Wacha kukariri eti wana maisha magumuHawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania 🇹🇿 !Ngoja viongozi waendelee kuchukulia poa haya mambo ya kidini,mbegu inayopandwa sasa lazima itaota na itazaa!
Muda utazungumza
Hapo pagumu sana, sheikh kazingua.Una maoni gani? THE BIG SHOW
Si ndiyo huyu anayetumiwa na Mkwere kunanga kwamba JPM hana uhusika hata chembe kwenye ule msikiti wa Bakwata Kinondoni?Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Freedom of expression !Alichokifanya huyu Shekhe hakina tofauti na walichofanya akina Musiba, Sabaya na akina Hapi na wengineo.
Ni mwendelezo tu ili mradi kila mtu anakula upande wake.
Shekhe Huyu anatoa mameno ya kichochezi huku akijificha kuwa nyuma ya Rais Dr Samia.
Tunaamini haya hajatumwa na Rais
Kwanini baadhi ya ndugu zetu waislam wanawaabudu hivi waarabu? Hivi mtu kama huyu anaweza kumnyima kitu chochote muarabu akitaka? Si atampa tu? Naogopa sana kuwaza kama rais wetu naye msimamo wake ni huu. Asipokemea hawa na kujitenga na misimamo yao kwa waarabu itaonekana na yeye ni kama hawa mashehe kwa kinachoendelea nchini. Hawa jamaa hata muarabu akisema anaitaka Tanzania leo watajiunga naye kutuangamiza tusio wa imani hiyo. Utumwa huu wa fikra unatisha sana. Hivi muarabu ni Mungu kwao?Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Lakini sio kwenye nyumba za ibadaWalichokifanya hata kama kilikuwa barabarani hakina tofauti na huyu.
Kila aliyempinga Bwana wao walimpa matusi na kumwita kila jina Baya
Cc Chaliifrancisco chalii wa ara Alexander The GreatThis Imam is just a mouthpiece of a collective muslim psyche.