GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Ndugu zao kama maandiko yao yanavyosema ALLAH aliumba wanadamu na majini wamsujuduDK 2 sekunde kuanzia ya 3..
"Kama nyinyi hampendi ondokeni msikitini nitabakia na majini, kuna majini yamekuja hapa"
N.b sijaelewa hapo kwamba majini huenda msikitini?