Sisi watanzania tuangalie uwekezaji unatunufaisha. Hilo ndilo jambo la msingi.
Haijalishi anakuja Mbrazili, Mwarabu, Mwafrika toka Nigeria au beberu toka Ulaya/Marekani.
Tatizo nchi hii vilaza wengi na kila mtu anawaza kuiba tu.
Kuanzia raia wanachagua viongozi hadi viongozi ni wizi na mbaya zaidi hakuna la maana sana wanafanya pesa hizi za wizi. Watajenga majumba mwisho wasiku hakuna atakayeishi, angalia project nyingi zinakufa miaka michache.
Kingine watatumia hizo pesa kutombea malaya na wanafunzi wa chuo na kuwaambukiza maradhi lakini pia wanawafanya hawa wanawake wawe na kiburi kwasababu wanapata pesa za bure kwahiyo hakuna chochote cha maana zaidi yakutengeneza kizazi cha wajinga.
Kulaumu wageni sijui waarabu au mabeberu ni kupoteza muda.
Hii Tanzania imeshaoza siku nyingi. Kutibu kansa nikukata mguu tu hakuna namna.