Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Wapi nimedhihaki?Labda Useme tu unachotaka KUMAanisha.. hii si haki kudhihaki viongozi wa dini au Imani za watu.. una mambo yakisenge sana
Kuna pia wale Shura ya Maimam! Sijui kama na yenyewe wanaunga mkono huu usheitwaan!!Anatafuta matatizo kwa viongozi wa baraza la Ulamaa
Yeye ni kiongozi wenu, pia tamasha limejaa waumini huoni vibaragashia na hijabu vimetawala shehe?Aiseeee.......
Kwa kuwa muislam mmoja kiongozi kahudhuria basi hongera tunapewa waislamu wote? Unadhani ni sawa ulichoandika, hebu tumia tu akili yako ya kuvukia barabara kuwaza kama upo sahihi?
Nadhani Muslims wajifunze kuchagua viongozi walioshika dini kweli na sio waliojificha kwenye kivuli cha dini. Muislam aliyeshika dini anafahamu kuwa muziki kwake ni Haram na atajitenga nao.
Mwisho kabisa mleta Uzi, usichanganye Dini iwe uislam au ukristo na tabia binafsi za mtu.
Ingefaa kama ungeshangaa kiongozi kama huyu imekuwaje ahudhurie hapo.
Hata hivyo viongozi wengi wa Bakwata sio wote huwekwa kwa maslahi ya kiserikali zaidi sio ya Dini ndio maana kuna baadhi ya Muslim hawaamini hiki chombo cha bakwata.
Hongera sana kwakeWacha amwagilie moyo, wanamuziki ni waisilamu ammenda kusupport
Hivi wewe jamaa una umri gani hivi???usitujumlishe sisi na vitu vya kijingaYeye ni kiongozi wenu, pia tamasha limejaa waumini huoni vibaragashia na hijabu vimetawala shehe?
Hujaona picha?Hivi wewe jamaa una umri gani hivi???usitujumlishe sisi na vitu vya kijinga