Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

Asilimia kubwa ya wasanii wa bongo ni waislamu, sio kwamba hawajui hilo ni haram, sio kwamba hawajui kuna kufa, sio kwamba hawajui kuwa baada ya kufa kwao kuna maswali watakutananayo, umri wako umeufanyia nini n.k, so wanajua haswaa, wengine wanaachia vifua vyao qadamnasi, na wengine kujichora matatuu mwilini, wengine huvaa mahereni, mikufu, mabangiri n.k, huu ni msiba mkubwa sana. Wanautafuta umaarufu kupitia njia alizoharamisha Mwenyezi Mungu.


Allah atawaongoza
 
Back
Top Bottom