Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara.

Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli.

Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul (Diamond), Ali Kiba, Dula Makabila, Konde Boy, Zuchu, Mwana FA, MWIJAKU, Babu Tale na wengine wengi kwa kuendeleza gemu.
View attachment 2301164
View attachment 2301165
Aliyekaa kulia kabisa
View attachment 2301169
View attachment 2301171
Kuna tofauti kati ya muislamu na uislamu. Uislamu unakataza zinaa lakini wapo waislamu wanafanya zinaa, uislamu unakataza muziki na ni haramu lakini angalia tu hapa tanzania wasanii karibu wote ni waislamu na ndo wanaongoza kwa mambo ya hovyo, uislamu umekataza riba na pombe lakini angalia wapo waislamu wanafanya hayo ndo maisha yao ya kila siku.

Kikubwa usihukumu umma mzima wa kiislamu au uislamu kwa makosa ya waumini wachache hayo , wanayoyafanya ni yao ila kikawaida yamekatazwa.
 
Ukisikia mashehe ubwabwa ndio hao sasa..pamoja na yule wa dsm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara.

Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli.

Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul (Diamond), Ali Kiba, Dula Makabila, Konde Boy, Zuchu, Mwana FA, MWIJAKU, Babu Tale na wengine wengi kwa kuendeleza gemu.
View attachment 2301164
View attachment 2301165
Aliyekaa kulia kabisa
View attachment 2301169
View attachment 2301171
Sipati picha shehe alikua ana tazama miuno na vijora vya waimba singeli huku mimacho na udenda vimemotoka.

Acheni shehe atazame neema za ala.

#MaendeleoHayanaChama
 
Asikilizaye,atengrnezaye na muimbaji wa muziki,wote unasemekana hawayaiona pepo.Nadhani waislam wameambiwa hivyo.
Hakuna kauli kama hiyo kwenye maandiko yoyote katika uislamu , kauli iliyopo ni kwamba muziki ni haramu kuusikiliza na kuuimba ila kuiona pepo hata kama utakuwa unaswali siku nzima kuingia ni Allah pekee ndiye anaamua .
 
Lengo kubwa la Mziki mnene ilikuwa kuhamasisha watu wachanje.
Shekhe wa Mkoa
Askofu wa Jimbo la Mtwara
Mkuu wa Hindu
Waziri wa Afya nk
 
Hakuna kauli kama hiyo kwenye maandiko yoyote katika uislamu , kauli iliyopo ni kwamba muziki ni haramu kuusikiliza na kuuimba ila kuiona pepo hata kama utakuwa unaswali siku nzima kuingia ni Allah pekee ndiye anaamua .
Hapa ndio wafia dini waliposhikwa akili..eti pepo..pepo gani?
Kingine kumbe ala mwenyewe hana misimamo.

Acheni kudanganya watu..hakuna chapepo wala upepo..ukifa umekufa imetoka hiyo.

Shehe mpenda mizigo huyo safi sana.
 
Usisahau Qur'an hiyohiyo inasema mbinguni kuna mito ya pombe, yani full shangwe ni kumwagilia moyo tu.
😂😂😂 Na inasema ukiingia tu unapewa mademu 72 sema inasema macho ya hao mademu ni makubwa kama vikombe😂😂😂
 
Inaonyesha mtoa mada vile ulivyo na upeo mdogo na uwezo mdogo wa kufikiri.
Ungekuwa unajielewa ungetaka kujua walau tamasha hili dhima haswa nini au sababu za kufanyika.
Huna tofati na wale jamaa walipomshangaa Jesus Christ kumuombea yule mwanamke mzinzi aliyemuonsha miguu kwa machozi yake.
Muandishi hakuna unachokielewa kuhusu dini na jamii
 
Ni halali kula nyama ya nguruwe iliyochanganywa na ya ng'ombe?
 
Waumini wake wote wamekwenda kule, kwa nini na yeye asiende?
Ni kama yule Lama(Tibetan Bhuddist Monk) wa USA, aliyekuwa anaawaambia wanafunzi wake "Naomba mnisamehe Kiingereza changu cha kubabiababia. Nimejifunza Kiingereza kwa kutazama vipiindi vya 'Days of our Lives"
 
Labda Useme tu unachotaka KUMAanisha.. hii si haki kudhihaki viongozi wa dini au Imani za watu.. una mambo yakisenge sana
Hiyo maneno uliyoyaandika kwa herufi kubwa ndiko kutilia mkazo huko siyo, nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom