Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

Hii maada natabiri itakuwa Vita kubwa humu ndani wajahidina vs mtoa maada


By the way me waislam me nawapenda Sana Sana hata mke WANGU NI mslam na nimemwambia asibadili dinii isipokuwa wanangu watanifuata baba Yao Martin Luther
Hakuna vita
 
Sio tamasha la music tu pia limeenda sambamba na kutoa Elimu ya afya.
 
Asikilizaye,atengrnezaye na muimbaji wa muziki,wote unasemekana hawayaiona pepo.Nadhani waislam wameambiwa hivyo.
 

Akina samaleku watakuja sema sio muislamu mwenzao kavaa tuu
 
Asikilizaye,atengrnezaye na muimbaji wa muziki,wote unasemekana hawayaiona pepo.Nadhani waislam wameambiwa hivyo.
Na anayepokea msaada kutoka kwao naye vipi?
 
kaka andika kwa ukamilifu kuna mashekhe wa ukweli na kuna mashekhe wa bakwata, yupi huyo aliyekwenda kwenye tamasha itakuwa sh wa bakwata hao usione ajabu wale dini kwao ni kama njia ya kupata riziki
 
Sasa hivi hakuna sheikh huyo kazi yake nyingine ni mganga mfukoni mairizi kama yote mtu wa majungu wabinafsi .masheikh wa ukweli walikuwa enzi ya Nyerere , mwinyi na waliishia enzi ya mkapa na mwanzo mwa utawala wa kikwete.sasa ni masheikh wa michongo Hawana hofu na allah
 
Labda Useme tu unachotaka KUMAanisha.. hii si haki kudhihaki viongozi wa dini au Imani za watu.. una mambo yakisenge sana
Acha matusi we kunguni

Mwache Sheikh wetu aumwagilie moyo wake
 
Nchi hii ndicho kilichobakia
Watu kwenda kwenye matamasha
Tu...kila leo matamasha tu
Sijui mara msanii huyu mara yule
Nendeni tu lakini mkapoteze mawazo

Ova
Hakuna anayejua Sheikh anayoyapitia katika ndoa zake....wacha akamwagilie Moyo wake Mwaisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…