gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Papa Gregory, Gregorian calendarPapa Hakuianzisha hii calendar ila alifanya marekebisho Kwa ile iliyokuwepo kama scholar mwingine tu, upapa wake haikuifanya calendar kuwa jambo la kiimani na hii iliyopo si kamilifu Ina mapungufu Bado , atatokea scholar mwingine ataidevelop zaidi Anaweza kuwa muislamu( kwasababu inatagemea uchunguzi wa kisayansi na si Imani). Lakini haiuhusiani na Imani Wala hakuna Ibada yoyote ya pekee katika Kanisa eti kusheherekea January mosi hakuna.
Papa Gregory, Gregorian calendar
Wewe nimeshakujibu hapa juu.....ukapita kimya kimya.Kama ambavyo namba za Kiarabu, Arab numerals 0, 1, 2, 3 etc (ambazo zilitokea India na kuenezwa na Waarabu) hazimaanishi kwamba kila anayezitumia ni Mwislamu, vivyo hivyo Kalenda ya Gregorian, licha ya kuwa ilianzishwa na kiongozi wa Kanisa Katoliki, haimaanishi kwamba kila anayeitumia ni Mkristo. Asili ya kitu na matumizi yake ya sasa ni mambo mawili tofauti... kalenda na namba hizo zimekuwa mifumo ya kimataifa inayotumiwa na watu wa dini mbalimbali na hata wasiokuwa na dini.
Buda dogo afanye kazi aache ujingaWewe rais wa vichaa kumbe ile ndio ID yako nyingine!
Hivi hapa JF kuna kichaa kama wewe anayeota kila siku eti aje kua rais?
Kila siku unatuletea hapa hesabu zako za kijinga jinga,ndio maana Red black hua anakwambia fanya kazi acha ujinga,
Halafu unaweza kuonyesha tusi hata moja kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote?
Ni kweli. Kusema ukweli ni ujinga kwa machawa na mazwazwa. Vitu hivi sasa vinaharibu nchi yetu. Samuyu and Kiwete mist go.Ujinga ujinga ujinga
Ukisoma vizuri bila hisia za udinni na uchawa, utaelewa kirahis. Hebu jaribu kidogo upate faida.Hapa sijaelewa kivipi anaifanya nchi iwe ya kiislam?
Tuhakikishe wanashindwa wanafiki hawa. Heri hata Mwinyi hakuwa rais japo na huyu aliyepo ni wale wale. Hasara na balaa.Familia ya mwinyi na kikwete ndio wapo front kwenye islamization of tanganyika
kule Zanzibar walishafanikiwa
kumbe mwinyi mkubwa ndio alikuwa ana ajenda hiyo nyerere akamzuia
kwa Sasa wanafanya watakavyo
Ni kweli sawa na lilivyoathriwa na za kizungu sambamba na za kiarabu. Ni aina fulani ya utumwa wa kujitakia na kupwakia.Ni taifa lililiathiriwa na tamaduni za kiarabu lwa asilimia 100
Ni kweli. Kwa mataahira na machawa hii ni takataka japo kwa wenye akili ni lulu na madini. Shukrani kwa kuonyesha uzwazwa na uchawa wako.Taka taka tupu
Una hoja yenye mashiko. Huu si muungano bali mgongano.Hii tunaila wote vinginevyo tuvunje muungano
Ni kweli. Je, lazima iwe dini ya waliowatia utumwani kimwili na kiakili? Kama mnaitaka si muende huko Macca au Roma mtuachia nchi yetu,Hio dini sisi ndo tunayoitaka, sisi sio wanyama , lazima tuishi kwa kufuata dini
Ni kweli. Ila haiwezi kuwa sehemu ya muungano ambao nchi yake haina dini. Wavnje muungano kwanza ndiposa waendelee na utumwa wao kiakili na kiroho hata kisiasa kwa ahadi za makapi.Hakuna tatizo Zanzibar kuwa taifa la Kiislamu
Si kweli. Kama ni taifa la kidini mbona haliongozwi na shehe, amir, Iman, au ayatollah?Mimi always napenda Kuongea uhalisia ulivyo, Zanzibar ni taifa la kiislamu kama yalivyo mataifa mengine mfano US, UK Haya ni mataifa ya kikristo nk Kwa mataifa mengine, maneno ya kimaandishi ya kuwa ni secular ni uongo, kwenye field mambo hayako hivyo...Yale maneno ya Tanzania Ni secular iko Huku kwetu Tu lakini si Zanzibar, Sisi tunawalazimisha wale Jamaa, suluhisho ni Kila mtu afe na chake au vipi?
Yamepata nini zaidi ya kuwa utumwa mtupu?Comoro na Somalia ni mataifa ya Kiislam tena majirani zetu ila sioni Uislam umewadaidiaje katika kujiletea maendeleo.
Wacomoro kila siku wanazamia Mayotte ili wakatawaliwe na kafir Macron
Unachotaka kuwasilisha ni nini hapa maana naona unaandika bila kufikiri achia mbali kuelewa unachoandika ambacho pia hakieleweki?Kwa lipi?
Uovyo wake ni upi?
Umeenda mbali sana kwa chuki za kidini kwenye eneo ambalo halipaswi kihusishwa na dini
Ikiwa huu muungano ushavunjika kama unavyodai, unauliza nini kubunjika kwake? Ukimuona mtu amekufa kwa kula sumu halafu ukauliza swali "jee mtu anakufa kwa kula sumu?" Swala hili linamfanya muulizaji sonekane mjinga (ignorant), au mpumbavu, au limbukeni. Tujitahidi kuangalia athari ya tunachoandika kabla hatukuandika.
Tatizo lipo tena kubwa. Uislamu hakupigania nchi ile toka kwenye mikono ya mashehe wa kiarabu waliowafanya watu wetu watumwa.Hakuna tatizo Zanzibar kuwa taifa la Kiislamu
POLE WE. Hakuna ujinga kama huu ambao nimewahi kuusoma hapa kusema ule ukweli. Kweli, mtumwa ni mtumwa hata umfanyeje, siku zote atabakia kuwa mtumwa.... uzi uliojaa viashiria vya kutapatapa kwa mwanasiasa aliyeishiwa hoja na sasa anauparamia udini kama silaha yake ya mwisho!
POLE! 😅
FBI wa Buzwagi unalopolopo tuHivi kumbe hamjagundua kuwa awamu hii ni awamu ya ''wametutawala sana na mfumo Kristo wao sasa ni zamu yetu na wakijifanya kuleta nyunyunyu tutawakomesha''. Trust me, chunguzeni kwa umakini mtaona. Yes, kuna ''makafiri'' wanashirikiana nao, lakini ni kwa kuweka maslahi binafsi mbele na kutojua mkakati mzima. Ni yale yale ya waarabu kuchukuwa watumwa kwa kusaidiwa na wenyeji. Hii nafasi mzee wa Msoga alikuwa anaisubiri kwa hamu kubwa, na wakati wa awamu yake alishindwa kutokana na mazingira na woga. Yeye ndiye mastermind wa kila kitu. ''Mabeberu waliposema kuna ''ukandamizaji wa dini'' hawakubahatisha. Wana majasusi chungu nzima na wanajua mipango ya ndani na malengo yake kuliko wengi wanavyodhani. NB: Kuna nchi za kiarabu zinaratibu mambo kwa usiri sana sana, wameingia ndani kabisa ya mifumo ya usalama wa nchi.
Sijui kama unajua kuwa huujui huo uhalisia unaoongelea. Afrika hakuna mataifa ya kiislam wala kikiristo bali utumwa wa kiakili tena wa kujitakia na kupwakia.Mimi always napenda Kuongea uhalisia ulivyo, Zanzibar ni taifa la kiislamu kama yalivyo mataifa mengine mfano US, UK Haya ni mataifa ya kikristo nk Kwa mataifa mengine, maneno ya kimaandishi ya kuwa ni secular ni uongo, kwenye field mambo hayako hivyo...Yale maneno ya Tanzania Ni secular iko Huku kwetu Tu lakini si Zanzibar, Sisi tunawalazimisha wale Jamaa, suluhisho ni Kila mtu afe na chake au vipi?
Si waende kwa waislamu wenzao uarabuni waone cha motoZanzibar kwa 98% ni Waislamu, ingefaa wawe uhuru wajiunge hata na Jumuiya ya nchi za Kiislamu.