johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ahamie uarabuni!Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
UsipanickAhamie uarabuni!
Dunia ipi?Sku za mapumziko ni mbili worldwide , dini zote zitafte nafas katika sku hzo mbili , kila dini ikijitaftia sku yake mbona itakuwa balaa
Shehe Ponda.Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Pweinti!Nitakuwa Mwislam wa mwisho kuendekeza mambo kama haya....
Kwa muktadha huu, Mungu akatuhimiza kufanya ibada na sio kupumzika!
Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
UnayoishiDunia ipi?
Mshana jr naye ataomba J4 itambulikeKweli wa j2 na j1 wameheshimiwa siku yao wa ijumaa nao iheshimiwe. Na sisi wa j5 pia tutambulike..
Kwani Jumapili unaenda?Kwa hiyo na shule kusiendwe
Watafuturu nini?Hivi huyu sheikh ana wajukuu kweli? Mana anaonekana kuwa anapenda kweli kuponda. Iko siku ataema mbona mwezi wa Ramadan biashara zote za chakula hazifungwi? .
Ipo kwenye utaratibu, nachomaamisha hiyo ijumaa anataka kusifanyike kaziKwani Jumapili unaenda?