Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?

Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!

Sabato njema
 
Ahamie uarabuni!
 
Nitakuwa Mwislam wa mwisho kuendekeza huu ujinga....

Kwa muktadha huu, Mungu anatuhimiza kufanya ibada na sio kupumzika!

Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
 
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?

Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!

Sabato njema
Shehe Ponda.
Unaona mbali! Huu ndio ukweli. Watu wanafanyia kazi za kujipendekeza na Wala sio kufuata taratibu. Tuheshimu Dini zetu. Tulia wajibika.
 
Nitakuwa Mwislam wa mwisho kuendekeza mambo kama haya....

Kwa muktadha huu, Mungu akatuhimiza kufanya ibada na sio kupumzika!

Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
Pweinti!

Halafu Islam swala ni kila Siku 5times
 
Wasabato pekee ndiyo wanaotakiwa kupumzika siku yao ya ibada wengine wote tunaenda kanisani tunarudi kuendelea na mishe zetu, waislamu pia Ijumaa wanapiga kazi kama kawa muda wa ibada wanaenda Msikitini wakitoka wanaendelea na kazi. Kwani kuna mbunge alikatazwa kwenda ibadani?
 
Hivi huyu sheikh ana wajukuu kweli? Mana anaonekana kuwa anapenda kweli kuponda. Iko siku ataema mbona mwezi wa Ramadan biashara zote za chakula hazifungwi?
 
Back
Top Bottom