Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

okey FaizaFoxy tusaidie hapa andiko linaloonyesha Allah amebariki rangi ya kijani.
Hamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.

Huyo Alhad sio mwakilishi wa Allah wala mtu yoyote, mi mfanyi kazi wa Serekali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alhad Musa ni sheikh wa mkoa wote wa Dsm........Hajakurupuka!
 
Kwa hiyo na Yanga pia!
 
Halafu watu wakiichambua Dini ya kiislamu vibaya kunatokea malalamiko. Wanaoinajisi dini hiyo sio wale walevi wanaochana vitabu bali viongozi wanao sema maneno ya kuifananisha dini ya kiislamu na vitu vya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Rangi ya kijani ni kitu cha hovyo bwashee?

Kijani ni Amani kama Yanga vile!
 
Twende taratibu, Sheikh wenu kasema Mungu ameibariki rangi ya kijani inayotumiwa na CCM,
tunahitaji reference ya maandiko tujiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…