kanankembe
Member
- Nov 4, 2019
- 85
- 50
hebu punguza jazba hakuna tusi hapo.
Ndio, alinukuu aya husika!
Kwanza athibitishe Mungu yupo.inategemea anamzungumzia Mungu gani hasa.
Allah abariki dhulumaAllah!
nje na Mada.Huyu sheikh huyu kwakuwa kasifia chama tawala hasemwi kama anachanganya dini na siasa. ila kama angeikosoa serikali angeambiwa avue majoho na kuingia katika siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Am Muslim but huyu jamaa alhd sijui simpendi toka moyoni naomba mwenyezi mungu anisamehe ila alhad simpendi to the maximumSheikh anataman hata vazi la kanzu liwe la kijani sema ndo anashindwa ataanzaje kutuambia
jamani huyo mtu simpendi mwenyezi mungul anisameheHuyu Sheikh Musa kwa kuropoka ajambo. Mim nina amini ndugu zangu Waislam watakuja kumbonda 1day
Huyu anaweza siku akajisahau akasema Quaran imemtaja raisi magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh Ponda yuko upinzani!johnthebaptist,
Mungu alilaani Rangi zingine zote. Huo ni uwaza waza wa hali ya juu.
Kwa staili hiyo mnataka wafuazi wa dini yenu wawe wanaccm tu? Na hivi Uchaguzi Mkuu bado sana. Itakuwaje wakati wa kampeni?