Maashekh wanafanya Sana uzinzi nimeona Sana hii kitu wanaujanja mwingi Sana .Hata huyo kishki nae ni mjanja mjanja tu..
Mzee suala la dua kupokelea kwa haraka ni suala zito, kwanza linahitaji usafi wa mtu, sio kuoga bali nafsi na matendo.
Sasa hawa masheikh wetu wajanja wajanja, matapeli, wazinifu, mara wanajitia waganga, mara vituo vya watoto yatima pesa wanakula.. hakuna sheikh huyo, hawa wa siku hizi wengi wajanja wajanja
Walionyooka ni wachache sana, tena huwezi wakuta wakigombea sijui uongozi wa msikiti, sijui bakwata.. ye anaiishi dini, anafundisha dini.Maashekh wanafanya Sana uzinzi nimeona Sana hii kitu wanaujanja mwingi Sana .
Kuna mambo yanafurahisha na kusikitisha sanaHebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Hiyo ndo dini?Hebu jionee Mwenyewe

Hebu jionee Mwenyewe

Issue gani hiyo??Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 takbirHebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Bora alikufa maana angeendelea kuua wengi.Ni sawa wanaoshangilia kufa kwa magu ni kujibiwa maombi mkuu.
Hizo team zote zisichekane
Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire ameeleza jinsi alivyoshikiliwa na kutendewa mateso na mamlaka za Tanzania kabla ya kuachwa kwenye mpaka wa Tanzania-Uganda usiku wa jana.Kumsifia Saa100 ni kuleta laana kwenye jamii
Apate yeye hicho kiharusiHebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Alhad UISLAMU ulishamshinda kitambo sanaHebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Mambo ya mix by yas?Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
Ujinga wako na wa aliyeongea ndio shidaTukiwaambia hizi dini ni utapeli mnatuona wachawi
Ona Sasa Mungu mwenye Huruma anaombwa awatie Ugonjwa Binadamu.
Unabaki unajiuliza kama Mungu anaombwa alete mabalaa ubaya wa Shetani ni nini kama mabalaa hayatoki kwake
Wagalatia kwenye ubora wenuHawa ndo maana wanadanganywa kuwa kule Mbinguni Mungu kawaandalia Mabikra wa kufanya nao ngono.
Wamemfanya Mungu kama mshikaji wao na muuza kahawa mwenzao
Kabla ya kwenda mbele atuambie ile laana yake kwa Mange iliishia wapi?Hebu jionee Mwenyewe