Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Umeingia moyoni na rohoni kwao Sheikh?Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Hawa wapuuzi ndo wa kuwashughulikia vilivyo hiyo tarehe 29 Oktoba.Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Huyu naye ni Sheikh ? Maajabu🤔Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Ukisikia Masheikh Ubwabwa ndio hawa,hapo keshapewa ubwabwa na serikali mpaka amevimbiwa akili haifanyi kaziHayo maneno awaambie bakwata wenzie ambao wanaweza kukataa haki kwa amri yake, ila mimi km muislam nitatoka, maana uislam umenifundisha kuamrisha mema na kukataza maovu, swali la kujiuliza je? ina maana haya maovu yote yanayofanywa na watawala wa nchi hii shekh hayaoni wala kuyasikia?
Dogo semenya wa ukaldayo ugali ulivyo mtamu shauri zako.Pumbavu zake.
Mimi ni kijana wa kiislamu na nimeshajiandaa kwa maandamano.
Pumbavu kabisa hilo jamaa ,si liliwahi kusema mwisho wa mange kusema umefika hatoongea tena? Kiko wapi? Limefukuzwa cheo likaondoa hadi visturi na makapeti kwa jinsi lilivyokuwa na roho mbaya.Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Si ndo huyu sheikh Mange alishamuumbua enzi za magu anapenda kutatua marinda ya wanawake wenye makalio makubwa. Yeye anahonga dollar 400Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Hayo maneno awaambie bakwata wenzie ambao wanaweza kukataa haki kwa amri yake, ila mimi km muislam nitatoka, maana uislam umenifundisha kuamrisha mema na kukataza maovu, swali la kujiuliza je? ina maana haya maovu yote yanayofanywa na watawala wa nchi hii shekh hayaoni wala kuyasikia?
Pumbavu zake.
Mimi ni kijana wa kiislamu na nimeshajiandaa kwa maandamano.
Mashehe ni vilaza sana.Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Una zungumziaje kuhusu kujilipua(kuvaa mabomu)Usifanye hivyo ndugu yangu kipenzi. Haifai, ni haramu.
Ihifadhi damu yako, na wala usiwe sababu ya kuharibu utulivu na Amani.
Nakuusia na kuiusia nafsi yangu kuwa na subra. Tusikubali kuburuzwa na emotions zetu. Please, tuwe na subra.
Ibn Abbas reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever sees something from his ruler that he hates, let him be patient. Whoever secedes from the community by as much as a handspan and dies will have died a death of ignorance.”
Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 7054, Ṣaḥīḥ Muslim 1849
Un
Una zungumziaje kuhusu kujilipua(kuvaa mabomu)
Wanacho fanya waislamu huko mashariki ya kati? Kama maandamano sio njia sahihi?