Kwanza, mimi sio Alhad.
Pili, hata huyo Alhad hupaswi kumtukana matusi ya nguoni, unapaswa kuwa muadilifu hata kwa watu unaowachukia.
Tatu, mihemko sio mizuri na unapaswa kuchunga sana hishma za watu, usipokuwa makini na ulimi wako utapata hasara Siku ya Qiyama, dhibiti hisia zako usije kuwa unafanya mema halafu uje kuwalipa wenzio Siku ya Qiyama au upewe dhambi zao.
Nne, Dini haiendi kwa mihemko na hisia.
Mwisho kunasihiwa utanasihiwa tu, ukikataa itakuwa wewe mwenyewe tu. Ukweli kuhusu Uislam utasemwa tu, tunamuomba Allah Atupe Ikhlaasw na Atujaalie tushikamane na Sunnah mpaka mauti yetu na Atufishe juu ya Sunnah ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Kwaheri.