Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,546
- 10,793
Ukundv huo sasa. Mbona anapingana na mtume? Dini ya haki haiwezi kuvumilia/Kukubaliana na utekaji, uuaji na ufujaji wa mali za umma. Unless otherwise kuna marekebisho mapya kwenye quran yanayoruhusu watawala kuwakandamiza na kuwaua wananchi wake. Ndo mjue hadi viongozi wa dini wamelambishwa asali na watawala!