Kwamba una maanisha wale waislamu wenzenu ambao wanaandamana kule Morocco kwa ajili tu ya kuishinikiza serikali yao iache kufuja pesa kwenye kujenga viwanja vya michezo na badala yake watumie pesa hizo kuboresha huduma za afya na elimu ni wajinga na wanafanya jambo ambalo ni haramu?Usifanye hivyo ndugu yangu kipenzi. Haifai, ni haramu.
Ihifadhi damu yako, na wala usiwe sababu ya kuharibu utulivu na Amani.
Nakuusia na kuiusia nafsi yangu kuwa na subra. Tusikubali kuburuzwa na emotions zetu. Please, tuwe na subra.
Ibn Abbas reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever sees something from his ruler that he hates, let him be patient. Whoever secedes from the community by as much as a handspan and dies will have died a death of ignorance.”
Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 7054, Ṣaḥīḥ Muslim 1849
Kwa hiyo wewe hapo ndio unajiona unaujua sana uislamu kuliko hata waarabu waliokuletea hiyo dini?
Nyie waislamu wa Tanzagiza ni vilaza sana na mna udumavu wa akili.