Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Naona kaeleza hoja mbili bila ulazima wowote.Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Huyu mjinga sanaVijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Hata hawa waarabu wanavyo tudharau Sisi weusi sio uislamu. Kwa hivyo waislamu wa kweli ni Sisi tulio weusi na wa haki ya chini. Wengine wanautumia uislamu Kwa Neema zao.
Kwanza, usinifokee.
Pili, nakuambia hili ukakae nalo na ujue kuwa; Uislam sio Dini kwa ajili ya watu fulani tu au kabila fulani tu. Hii ni Dini ya Allah iliyoletwa kwa ajili ya watu wote bila kujali rangi zao wala makabila yao. Kinachotazamwa ni Dini inasemaje, sio watu fulani wanasemaje? Na fahamu kuwa miji haitakasi watu.
Tatu, wanachokifanya ndugu zetu wa Morocco sio sahihi kwa mujibu wa Uislam na ni kwenda kinyume na mafunzo ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), na kwenda kinyume na mafunzo ya Mtume kuna madhara makubwa. Matatizo makubwa tunayoyapata Waislam leo miongoni mwa sababu zake kubwa kabisa ni kwenda kinyume na maelekezo ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Maandamano ni katika mila za makafiri za kidemokrasia zilizoanzia Ulaya huko, hayana Asili katika Uislam. Sio njia ya kutafuta haki wala suluhu katika Uislam na wala sio njia ya Kishari'ah ya kuamrisha mema na kukataza mabaya. Na ni kinyume na mafundisho ya Mtume. Na ndio maana hakuna sehemu katika miji ya Waislam hayo maandamano yalileta kheri yoyote, bali shari na uharibifu na udhalili juu ya udhalili kwa Waislam. Kwa mfano tu tazama, Libya, Yemen, Syria, Misri, Tunisia na Sudan na Algeria miaka ya 90 kulifuata nini baada ya maandamano dhidi ya watawala.
Na Mtume wetu alitukataza kuwakosoa watawala wetu hadharani na kuwapiga vita na tumekatazwa kuondoa mkono wa utiifu kwao na kuwafanyia uasi.
Hivyo mimi Muislam mweusi mbantu ninawaonea huruma ndugu zangu katika Iymaan walioko Morocco wanaofanya maandamano kwa sababu njia waliyoiendea sio ya sawa iko kinyume na mafundisho ya Uislam na inapelekea katika fitna ambayo ikija inamchukulia anayehusika na asiyehusika. Tunamuomba Allah Afya na Salama.
Na mwisho kwa kutilia mkazo zaidi; ndio, maandamano ni haramu.
Acha porojo shekh, kazi kusema uislam una njia zake! wewe wa kwanza kujua hizo njia umewahi kuzitumia wapi ikaleta tija? au shekh wewe hawa watu wanaohubiri amani bila haki unaona wapo sawa!Uislamu umesema watu waswali je kila mtu ataswali kwa namna anavyotaka , muda anataka na idadi ya rakaa anataka kisa ameambiwa aswali tu ?
Kuamrisha mema na kukataza maovu kupo ila kana njia zake , Uislamu kila kitu kimwekwa namna , taaratibu na misingi ya kuendea na sio kufanya tu ilimradi.
Ndugu , maandamano sio njia ya Waislamu Mimi Zamani nilikuwa mstari wa mbele kwenye uharakati ila baada ya kusoma dini kupata mwangaza na kufikiri kisawasawa nimeacha na maswala hayo naangalia maelekezo ya dini yanasemaje na yanataka tufanye Nini katika kila hali.
Ukisema ufanye tu hata Al shabab, Al Qaeda warasema Uislamu umeaamrisha tupigane tutee dini , swali linakuja je hao Magaidi wanaodai kutetea Uislamu wanapambana kama dini jinsi ilivyoelekeza ?
mi ni muislamu pure nimesoma kinondoni Muslim Hadi form 6 na nitaandamanaVijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia?
===============
Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano Ameeleza Shekhe Alhad Mussa:
Kama nilivyosema kwenye comment yangu ya hapo awali, nyie waislamu wa Tanzagiza(ukiwemo na wewe) ni vilaza sana kuliko waislamu wengine wooote waliopo hapa duniani.Kwanza, usinifokee.
Pili, nakuambia hili ukakae nalo na ujue kuwa; Uislam sio Dini kwa ajili ya watu fulani tu au kabila fulani tu. Hii ni Dini ya Allah iliyoletwa kwa ajili ya watu wote bila kujali rangi zao wala makabila yao. Kinachotazamwa ni Dini inasemaje, sio watu fulani wanasemaje? Na fahamu kuwa miji haitakasi watu.
Tatu, wanachokifanya ndugu zetu wa Morocco sio sahihi kwa mujibu wa Uislam na ni kwenda kinyume na mafunzo ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), na kwenda kinyume na mafunzo ya Mtume kuna madhara makubwa. Matatizo makubwa tunayoyapata Waislam leo miongoni mwa sababu zake kubwa kabisa ni kwenda kinyume na maelekezo ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Maandamano ni katika mila za makafiri za kidemokrasia zilizoanzia Ulaya huko, hayana Asili katika Uislam. Sio njia ya kutafuta haki wala suluhu katika Uislam na wala sio njia ya Kishari'ah ya kuamrisha mema na kukataza mabaya. Na ni kinyume na mafundisho ya Mtume. Na ndio maana hakuna sehemu katika miji ya Waislam hayo maandamano yalileta kheri yoyote, bali shari na uharibifu na udhalili juu ya udhalili kwa Waislam. Kwa mfano tu tazama, Libya, Yemen, Syria, Misri, Tunisia na Sudan na Algeria miaka ya 90 kulifuata nini baada ya maandamano dhidi ya watawala.
Na Mtume wetu alitukataza kuwakosoa watawala wetu hadharani na kuwapiga vita na tumekatazwa kuondoa mkono wa utiifu kwao na kuwafanyia uasi.
Hivyo mimi Muislam mweusi mbantu ninawaonea huruma ndugu zangu katika Iymaan walioko Morocco wanaofanya maandamano kwa sababu njia waliyoiendea sio ya sawa iko kinyume na mafundisho ya Uislam na inapelekea katika fitna ambayo ikija inamchukulia anayehusika na asiyehusika. Tunamuomba Allah Afya na Salama.
Na mwisho kwa kutilia mkazo zaidi; ndio, maandamano ni haramu.
Hatukatai, lakini ukweli upojeUbora wa watu sio kwa rangi zao wala makabila yao
ayat 13 from Surah Al-Hujuraat
﴿يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ﴾
[ الحجرات: 13]
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
Kama nilivyosema kwenye comment yangu ya hapo awali, nyie waislamu wa Tanzagiza(ukiwemo na wewe) ni vilaza sana kuliko waislamu wengine wooote waliopo hapa duniani.
Nyie wengi wenu kwanza huwa ni extremists na ni wanafiki wakubwa japo mnajifanya kuijua sana hiyo dini yenu.
Kwanza kama kweli wewe ungekuwa unafuata kanuni za hiyo dini yako kwa 100% leo hii wala hata usingemsapoti Samia maana hiyo dini yako inakataza mwanamke kushika uongozi na hasa uongozi wa juu kabisa
lakin wewe na waislamu wenzako wa Tanzagiza ndio kwanza mnajiandaaa kwenda kumpigia kura Samia atuburuze miaka mingine mitano.
Pili, hata Mitume wenyewe wa dini zote hawakufundisha watu unyonge, walifundisha kutambua haki zao wasikubali kuziacha haki zao wanyang'anyi wa haki hizo, hawakufundisha wawanyenyekee wapumbav,majuha na madikteta pale wanaowatendea vitendo visivyokuwa sahihi
Na ndio waislamu wenzio usiku na mchana wanapambana na Israel anayetaka kuwanyang'anya aridhi yao.
Waislamu wa Morocco wanajitambua sana kuliko wewe muislamu wa Tanzagiza, na ndio maana taifa lao lina maendeleo kulinganisha na hili taifa lako ambalo mpaka leo hii Samia bado anakuahidi kukuletea maji nyumbani kwako....
Wamorocco wana elimu dunia na wanatambua umuhimu wake maana ndio inaendesha maisha ya mwanadamu kila siku, na ndio maana wanaishinikiza serikali yao kupitia maandamano iachane na anasa za kujenga viwanja vya mpira na kisha wapeleke pesa hizo kwenye huduma ya elimu... akili ambayo wewe muislamu mbantu wa Tanzagiza huna japo unajifanya unaujua sana uislamu.
Serikali ya dhalimu ya muislamu mwenzio Samia inanuka maovu ya kila aiana kwanzia ufisadi,ubagazaji wa mali za uma,tozo za ajabu ajabu mapaka mauaji ya raia wasiokuwa na hatia na hakuna dalili zozote za maovu hayo kufika mwisho hivi karibuni.. njia pekee iliyobaki ya kudeal nayo ni kutumia nguvu ya umma ambayo ni maandamano halafu wewe unaleta hadhi zako eti maandamano ni haramu? Wewe vipi wewe?
Mara unasema eti uislamu unakutaka utii viongozi wako na haupaswi kuwapinga, hivi ni akili hiyo kweli? Kwamba hata kama viongozi hao ni majizi na wapumbavu wewe kazi yako ni kuwatiii tu..!!
Hii nchi haingozwi kwa sheria za kiislamu this is non secular country, na ni upuuzi ukijitia kuishi kwa kufuata misingi ya kihafidhina ya kiislamu wakati serikali yako hii haina dini wala haina hofy yoyote na Mungu na ndio maana inatufanyia maovu ya kila aina.
Kama wewe uislamu unaoujua unakufundisha kuvumilia waovu kisa tu ni viongozi basi nenda kawapigie kura hiyo siku na waliochoshwa na hawa watawala dhalimu acha wafanye maamuzi yao.
Hatukatai, lakini ukweli upoje
Si ndo huyu sheikh Mange alishamuumbua enzi za magu anapenda kutatua marinda ya wanawake wenye makalio makubwa. Yeye anahonga dollar 400
Ni msomaji mzuri wa magazeti, ila nasikitika kusoma hili gazeti lako lililojaa upuuzi mtupu yaani mwanzo mwisho hakuna logical counter argument hata moja zaidi zaidi tu ya kuniandikia mashudu uliyojifunza huko madrasa ambayo yanakuonesha ni jinsi gani bado uko nyuma sana kifikra.Acha kunifokea
MAANDAMANO NI HARAMU NA SIO KATIKA UISLAM.
Hujui Uislam na acha kujifanya mjuaji.
View: https://youtu.be/inhkOPcQewI?si=yRQGfx2tjFbvbEms
Katika hali ya ukhiyari, atatangulizwa mwanaume katika mambo ya uongozi. Lakini hatuna khiyari na mtawala ni mwanamke, amepata nguvu au kawekwa na wenye nguvu na mamlaka, sisi tutamsikiliza na kumtii kama mtawala wetu hata kama ni mwanamke.
Mimi sipigi kura na sijawahi kupiga kura na sio kwasababu ya hii kampeni yenu uchwara ya uasi ya "no reform no election" mimi binafsi sijawahi kupiga kura kabisa. Na hiyo kura hata watu katika nyinyi watampigia Rais usitake kuwamalizia hasira zako Waislam kwa sababu unawaona ni easy target.
Ninachozungumza sio kwamba ninaipigania CCM au chama chochote kile au mimi ni chawa. Mimi sio chawa, mimi nasimama na Dini yangu na ninalipigania hili kwa ajili ya Allah na kutafuta radhi zake na kumfuata Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Haya masuala ya kutozozana na mtawala, na kumsikiliza, na kumtii (kumtii katika yasiyo maasi), na kutomsema hadharani, na kutomtukana na jambo la kuwa na subra juu yake mtawala na kumuombea Dua ya kheri mtawala wetu hivyo ndio Dini yetu inavyotutaka na kutufundisha na hili ni kwa maslahi ya Amani na utulivu na hata ustawi wa Nchi yetu.
Mitume (Amani Iwe juu yao) walikuja kulingania watu wao katika Tawheed (Kumuabudu Allah Peke yake bila ya kumshirikisha na chochote) na kuwakataza shirki. Waliwafundisha watu wao kumuabudu Allah kwa namna alivyotaka Allah Mwenyewe bila ya kumshirikisha na chochote na kupitia wao Allah aliwaletea waja wake yale yaliyo na maslahi kwao na kuwaonesha yale yenye madhara kwao. Mitume mpaka Mtume wa mwisho Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) alikuja na Shari'ah ya mwisho kwa ajili ya watu wote mpaka Kiyama na akawafundisha watu Tawheed na kuwakataza Shirki.
Mitume wote (Amani Iwe juu yao) walikuja kuwafundisha watu Haki itokayo kwa Mola wao na Haki ni kile walichokuja nacho Mitume na waliwafundisha watu . Mtume wa mwisho Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) amewafundisha watu utaratibu katika kila jambo la maisha yao ya kila siku ikiwemo namna ya kuamiliana na watawala;
Hudhayfah ibn al-Yaman reported: I asked, “O Messenger of Allah, we were living in an evil time and Allah brought us good in which we live now. Will there be evil after this good?” The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Yes.” I said, “And any good after this evil?” The Prophet said, “Yes.” I said, “And any evil after this good?” The Prophet said, “Yes.” I said, “How will it be?” The Prophet said, “After me, leaders will come who do not follow my guidance or my Sunnah. Some of their men will have the hearts of devils in a human body.” I said, “O Messenger of Allah, what should I do if I live to see that time?” The Prophet said, “You should listen and obey the ruler, even if he strikes your back and takes your wealth, even still listen and obey.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 1847
Ndugu zetu Waislam wa Palestina (Allah Awape Nusra) wanakosea katika baadhi ya namna wanayoenda nayo dhidi ya mazayuni. Hii ni mada pana. Jihad ina vidhibiti na masharti yake.
Ndugu zangu waMorocco ninawaombea kwa Allah Awaongezee ustawi na utajiri na maendeleo juu ya ustawi na utajiri na maendeleo waliyonayo. Allah Humpa Amtakaye katika waja wake. Na ndio maana sisi hatuhangaiki na watawala. Mama Samia (Allah Amuongoze na Alitengeneze jambo lake liwe zuri) sio wa kwanza yeye hapa kuwa mtawala wa Nchi hii na umaskini hajaleta yeye. Allah Ndio Humkunjulia Rizki Amtakaye katika waja wake na Humpimia Rizki Amtakaye katika waja wake, Sifa zote Njema zinamstahiki Allah Mola Mlezi wa Walimwengu wote na Viumbe Vyote.
Watawala hawapandishi wala kushusha bei na gharama za maisha;
Narrated Anas bin Malik (RA):
When prices were high in al-Madinah in the time of Allah's Messenger (ﷺ), the people said, "O Allah's Messenger, prices have become high, so fix them for us." Allah's Messenger (ﷺ) replied, Allah is the One Who fixes prices, Who withholds, gives lavishly and provides. And I hope that when I meet Allah, the Most High, none of you will have any claim on me for an injustice regarding blood or property." [Reported by al-Khamsah excluding an-Nasa'i; Ibn Hibban graded it Sahih (authentic)].
وَعَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ - رضى الله عنه - قَالَ: { غَلَا اَلسِّعْرُ بِالْمَدِينَةِ عَلَى عَهْدِ رَسُولِ اَللَّهِ - صلى الله عليه وسلم -فَقَالَ اَلنَّاسُ: يَا رَسُولَ اَللَّهِ ! غَلَا اَلسِّعْرُ, فَسَعِّرْ لَنَا, فَقَالَ رَسُولُ اَللَّهِ - صلى الله عليه وسلم -إِنَّ اَللَّهَ هُوَ اَلْمُسَعِّرُ, اَلْقَابِضُ, اَلْبَاسِطُ, الرَّازِقُ, وَإِنِّي لَأَرْجُو أَنْ أَلْقَى اَللَّهَ -تَعَالَى-, وَلَيْسَ أَحَدٌ مِنْكُمْ يَطْلُبُنِي بِمَظْلِمَةٍ فِي 1 دَمٍ وَلَا مَالٍ " } رَوَاهُ اَلْخَمْسَةُ إِلَّا النَّسَائِيَّ, وَصَحَّحَهُ اِبْنُ حِبَّانَ 2 .
1 - في هامش " أ " أشار إلى أن في نسخة: " من ".
2 - صحيح. رواه أحمد ( 3 / 156 )، وأبو داود ( 3451 )، والترمذي ( 1314 )، وابن ماجه ( 2200 )، وابن حبان ( 4914 ). وقال الترمذي: " حسن صحيح ". وقال الحافظ في " التلخيص " ( 3 / 14 ): " إسناده على شرط مسلم ". وهو كما قال.
Sunnah.com reference : Book 7, Hadith 38
English translation : Book 7, Hadith 815
Arabic reference : Book 7, Hadith 812
Hadith - Business Transactions - Bulugh al-Maram - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Narrated Anas bin Malik (RA): When prices were high in al-Madinah in the time of Allah's Messenger (ﷺ), the people said, "O Allah's Messenger, prices have become high, so fix them for us." Allah's Messenger (ﷺ) replied, Allah is the One Who fixes prices, Who withholds, gives lavishly and providesunnah.com
Ndugu zangu wa Morocco kama wakisikiliza watu kama wewe Muhimbu wataharibu.
Mimi ningepata fursa ningewakumbusha ndugu zangu wa Morocco maneno haya ya Swahaba Mtukufu na Khalifa Muongofu aliyeongozwa, 'Umar Ibn Khattab (Allah Amridhie);
'Umar Ibn al-Khattāb said:
“Verily, we were a disgraceful people and Allah honored us with Islam. If we seek honor from anything besides that with which Allah honored us, Allah will disgrace us.”
[al-Mustadrak 214]
Wasiendekeze watu kama wewe ili wasije kuwa kama Sudan, Libya, Syria, Yemen na Algeria (miaka ya 90) na ndugu zao na ndugu zetu wengine.
Maandamano ni katika mila za makafiri na hayana nafasi katika Uislam na wala sio njia ya watu kudai haki katika Uislam na wala sio njia ya kuamrisha Mema wala kukataza maovu iliyowekwa na Shari'ah.
Mtume wetu (Swala na Salamu ziwe juu yake) katufundisha kuwa na Subra tunapohusiana na kuamiliana na watawala.
Na ndio, Maandamano ni Haramu katika Uislam
Messenger of Allah (ﷺ) said: "It is obligatory for you to listen to the ruler and obey him in adversity and prosperity, in pleasure and displeasure, and even when another person is given preference over you.” - Sahih Muslim 1836
Tuna Subra juu ya mtawala. Hatuandamani. Maandamano ni Haramu.
Na Waislam tuna uhuru wa kuabudu kwenye Nchi yetu. Alhamdulillah. Kumuabudu Allah ndio lengo la kuumbwa kwetu. Sisi tunaifuata na kuilingania Dini yetu.
Halafu kama unasema Nchi hii haiongozwi kwa Sheria za Kiislam, why ulikuwa unanipigia kelele kuhusu mtawala mwanamke kule juu? Sisi Waislam tumefundishwa namna ya kuishi katika hali zote. Tunapokuwa na nguvu na tunapokuwa dhaifu, tunapokuwa tuna hiari na pale tunapokuwa hatuna hiari. Na hali nyengine zote. Dini yetu haiji contradict wala kujigonga. Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.
Maandamano ni Haramu katika Uislam na hatukubali muendelee kuchochea uvunjifu wa Amani kwa kisingizio chochote kile, tutatumia kalamu zetu na ndimi zetu kwa kadri ya uwezo wetu, In Shaa Allah, kulipinga hili. Nchi hii ni yetu sote na hatokaa kimya nyinyi wachache mtuzamishe baharini wote na tuko kwenye meli moja.
Ninamuomba Allah kwa Sifa zake na Majina yake Matukufu Aiilnde na kuidumisha Amani yetu na Awaongoze watawala wetu katika njia iliyonyooka na Awajaalie wafanye maamuzi sahihi, Allahumma Aamiin.
Kazakh destroyer adriz Kisai Chifu mkuu
Nitakuwa nimekosa adabu kuongeza chochote, allah akubariki na akuongezee elimu na maarifa ndugu yangu mbora.Acha kunifokea

Ni msomaji mzuri wa magazeti, ila nasikitika kusoma hili gazeti lako lililojaa upuuzi mtupu yaani mwanzo mwisho hakuna logical counter argument hata moja zaidi zaidi tu ya kuniandikia mashudu uliyojifunza huko madrasa ambayo yanakuonesha ni jinsi gani bado uko nyuma sana kifikra.
Yaani mimi nimekuwekea hoja ambazo ziko very objective hazina mfungamano wowote bali ziko katika uhalisia wa maisha yetu ya kila siku.. halafu na ukilaza wako unakuja kunijibu kulingana na kitabu ulicholetewa na warabu kinasema nini?
Kwanza unaniwekea mimi hayo mareferences ya hicho kitabu chako hili iweje? Umeshindwa nini kunijibu kwa utashi wako mwenyewe?
Hivi ni lini mtakuwa huru nyie watu na kutoka kwenye utumwa wa kidini? Ona sasa huwezi kabisa kutumia akili zako yaani kila kitu unajibu according to...according to? Bro hebu acha kuwa mjinga na kisha utoke kwenye hiyo bondage... ona sasa dini yako inakufanya mpaka unaona kupigania haki zako za msingi ni haramu.. unawadharau mpaka waislamu wenzio Morocco waliokuzidi kila kitu kwanzia akili mpaka maendeleo, kitu pekee unachowazidi Morocco ni ujinga sugu.
Huwa nachikia sana wajinga na wanafiki kma wewe.
Eti dini yako inakutaka uwe na subira na mvumilivu, kwio unavuta subira gani ilihali hatuoni hata mkikemea maombo ya ovyo yanayofanywa na serikali ya Samia.
Nyie waislamu wa tanzagiza mtaendelea khbaki hapo mlipo
Kwamba una maanisha wale waislamu wenzenu ambao wanaandamana kule Morocco kwa ajili tu ya kuishinikiza serikali yao iache kufuja pesa kwenye kujenga viwanja vya michezo na badala yake watumie pesa hizo kuboresha huduma za afya na elimu ni wajinga na wanafanya jambo ambalo ni haramu?
Kwa hiyo wewe hapo ndio unajiona unaujua sana uislamu kuliko hata waarabu waliokuletea hiyo dini?
Nyie waislamu wa Tanzagiza ni vilaza sana na mna udumavu wa akili.
Kama nilivyosema kwenye comment yangu ya hapo awali, nyie waislamu wa Tanzagiza(ukiwemo na wewe) ni vilaza sana kuliko waislamu wengine wooote waliopo hapa duniani.
Nyie wengi wenu kwanza huwa ni extremists na ni wanafiki wakubwa japo mnajifanya kuijua sana hiyo dini yenu.
Kwanza kama kweli wewe ungekuwa unafuata kanuni za hiyo dini yako kwa 100% leo hii wala hata usingemsapoti Samia maana hiyo dini yako inakataza mwanamke kushika uongozi na hasa uongozi wa juu kabisa, lakin wewe na waislamu wenzako wa Tanzagiza ndio kwanza mnajiandaaa kwenda kumpigia kura Samia atuburuze miaka mingine mitano.
Pili, hata Mitume wenyewe wa dini zote hawakufundisha watu unyonge, walifundisha kutambua haki zao wasikubali kuziacha haki zao wanyang'anyi wa haki hizo, hawakufundisha wawanyenyekee wapumbav,majuha na madikteta pale wanaowatendea vitendo visivyokuwa sahihi... Na ndio waislamu wenzio usiku na mchana wanapambana na Israel anayetaka kuwanyang'anya aridhi yao.
Waislamu wa Morocco wanajitambua sana kuliko wewe muislamu wa Tanzagiza, na ndio maana taifa lao lina maendeleo kulinganisha na hili taifa lako ambalo mpaka leo hii Samia bado anakuahidi kukuletea maji nyumbani kwako....
...Wamorocco wana elimu dunia na wanatambua umuhimu wake maana ndio inaendesha maisha ya mwanadamu kila siku, na ndio maana wanaishinikiza serikali yao kupitia maandamano iachane na anasa za kujenga viwanja vya mpira na kisha wapeleke pesa hizo kwenye huduma ya elimu... akili ambayo wewe muislamu mbantu wa Tanzagiza huna japo unajifanya unaujua sana uislamu.
Serikali ya dhalimu ya muislamu mwenzio Samia inanuka maovu ya kila aiana kwanzia ufisadi,ubagazaji wa mali za uma,tozo za ajabu ajabu mapaka mauaji ya raia wasiokuwa na hatia na hakuna dalili zozote za maovu hayo kufika mwisho hivi karibuni.. njia pekee iliyobaki ya kudeal nayo ni kutumia nguvu ya umma ambayo ni maandamano halafu wewe unaleta hadhi zako eti maandamano ni haramu? Wewe vipi wewe?
Mara unasema eti uislamu unakutaka utii viongozi wako na haupaswi kuwapinga, hivi ni akili hiyo kweli? Kwamba hata kama viongozi hao ni majizi na wapumbavu wewe kazi yako ni kuwatiii tu..!!
Hii nchi haingozwi kwa sheria za kiislamu this is non secular country, na ni upuuzi ukijitia kuishi kwa kufuata misingi ya kihafidhina ya kiislamu wakati serikali yako hii haina dini wala haina hofy yoyote na Mungu na ndio maana inatufanyia maovu ya kila aina.
Kama wewe uislamu unaoujua unakufundisha kuvumilia waovu kisa tu ni viongozi basi nenda kawapigie kura hiyo siku na waliochoshwa na hawa watawala dhalimu acha wafanye maamuzi yao.
Nitakuwa nimekosa adabu kuongeza chochote, allah akubariki na akuongezee elimu na maarifa ndugu yangu mbora.