Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Jiwe ndo aliyeasisi mpaka Sasa tunaongozwa na mwanamke, Kwa kupenda sifa akaamua kumchagua mgombea mwenza mwanamke
Magufuli alimtaka Mwinyi Jr.

Ila Msoga ndio walimtaka Samia.
 
Watu wa JPM mnaumia sana kuongozwa na mwanamke. Katiba ya nchi ndio inavyosema hivyo, ni matakwa ya kikatiba sio ya Magufuli wala Samia.

Ni kama USA sasa hivi Biden msaidizi wake ni Kamala Harris, likitokea baya lolote lile Kamala anakuwa rais.
Lakini Samia ni Muislam.

Na hapa sheikh ame-quote Qur'an ambayo Samia anaiamini.
 
Wengi wenu hamjaangalia hiyo video clip...

Sheikh hapingi mwanamke kuwa kiongozi, anachopinga ni kushika uongozi wa juu kabisa.

Eleweni tofauti.
 
Unazungumzia Dini unazungumzia Ulimwengu wa katiba na sheria za Nchi ambao uko mbali na sheria za kidini unanunukuu maandiko unaishi chini ya hayo maandiko nyumbani kwako????
Au unatumia maandiko kujustify kilio chako Cha huu uongozi ambao hautoi fursa kwako kimaisha

Rais sio Kiongozi wa Dini wala sio wa msikiti wala sio wa kanisa

Uraisi ni Taasisi ambayo Ndani yake kuna wanaume wanayapanga na kuyajenga kama Taasisi

Nchi inayoongozwa kwa sharia Duniani haipo Raisi Ni Samia suluhu Mungu amlinde huyu mama aongoze watu Kwa haki na uadilifu

Hamtaki hameni nchi
 
Juzi nilipita mahali fulani nikashuhudia mama mmoja anachinja kuku na kuwaweka kwenye viroba tayari kwa kuwapeleka sokoni kuwauzia wauza chips.

Nikasema kuanzia Leo sinunuwi tena kuku wa vibanda vya chips..


Kama hatuvifuati vitabu vya Mungu basi tuheshimu maandiko yake.
 
Mwanamke ameruhusika kuchinja Tatizo Lenu mnadhani sharia za kidini zimekuja kupora haki za watu uliza Sheikh wako hapo je Mwanamke haruhusiwi kuchinja????
 
[mention]FaizaFoxy [/mention] Unasemaje kuhusiana na maneno ya Ustadhi??
 
Mambo ya jinisi sijui kuongoza wakati wapo Wanawake vichwa vyao vipo sawa kukiko wahuni wakipewa Nchi ukichanganya mambo ya Iman na Serikali utaenda tofauti sana ni kama walipa kodi walivyotaka kujua kulipa kodi kwa kaisari ni sawa au si sawa Yesu aliwapojibu kuwa ya kaisari mpe kaisari imekua kama ndio ruhusa kwa wengine wenye imani hiyo kulipa kodi Yesu angesema sio sawa watu mpaka kesho wangepinga Kodi za Serikali...
 
Umesema kweli tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…