Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Papa ni kitu gani sasa mkuu?Huna habari kwamba Papa ameifuta BIBLIA
Mimi ninamwamini Yesu Kristo na Mungu baba.
Sijui papa au askofu ni taka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa ni kitu gani sasa mkuu?Huna habari kwamba Papa ameifuta BIBLIA
Lakini Samia ni Muislam.Watu wa JPM mnaumia sana kuongozwa na mwanamke. Katiba ya nchi ndio inavyosema hivyo, ni matakwa ya kikatiba sio ya Magufuli wala Samia.
Ni kama USA sasa hivi Biden msaidizi wake ni Kamala Harris, likitokea baya lolote lile Kamala anakuwa rais.
Kweli tupuSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
naunga mkono hoja, ni kweli kuna baadhi ya Masheikh ni Masheikh ubwabwa.
Sheikh wa ukweli ni huyu
P
Unazungumzia Dini unazungumzia Ulimwengu wa katiba na sheria za Nchi ambao uko mbali na sheria za kidini unanunukuu maandiko unaishi chini ya hayo maandiko nyumbani kwako????Kwani baba akifa kwenye urithi Nani anapata % kubwa?? Mtoto wa kike au mtoto wa kiume??
Kwani Wanawake kutoendesha,kutomiliki biashara,kutotembea bila ruhusa ya mwanaume huko middle East Ni Kwa Bahati mbaya Tu??
Nakuacha Na hii
Abu Sa’id al-Khudri reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:
O gathering of women! Give in charity, for I have seen you as a majority of people in Hellfire.
They said, “Why is that, O Messenger of Allah?” The Prophet said:
You curse others often and you are ungrateful for your livelihood. I have not seen anyone with reductions in mind and religion more capable of removing reason from a resolute man than you.
They said, “What are our reductions in mind?” The Prophet said:
Is not the testimony of a woman like half of a man?
They said, “Of course.” The Prophet said:
That is the reduction in your mind. Is it not that when you menstruate you do not pray, nor fast?
They said, “Of course.” The Prophet said:
That is the reduction in your religion
Na Quran 2:282 inasema
And bring two witnesses from among your men. And if there are not two men [available], then a man and two women from those whom you accept as witnesses - so that if one of the women errs, then the other can remind her.
Mwanamke ameruhusika kuchinja Tatizo Lenu mnadhani sharia za kidini zimekuja kupora haki za watu uliza Sheikh wako hapo je Mwanamke haruhusiwi kuchinja????Juzi nilipita mahali fulani nikashuhudia mama mmoja anachinja kuku na kuwaweka kwenye viroba tayari kwa kuwapeleka sokoni kuwauzia wauza chips.
Nikasema kuanzia Leo sinunuwi tena kuku wa vibanda vya chips..
Kama hatuvifuati vitabu vya Mungu basi tuheshimu maandiko yake.
Na hawajawahi kua na mwanamkeWanao 45
NakaziaSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Hata wewe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atajikuta mabwepande huko maana ndiko mahali awamu ile yenye mahusiano na hii walikua wanapeleka watu.
Umesema kweli tupu.Acha kumsingizia Mtume Mambo ya kishenzi............Mwanamke ni robo 3 ya uthamani ukiringanisha na Robo Moja ya uthamani aliyopewa mwanaume
Na huu Ndio uislam
Ukitaka kufanya ihsan kwa wazazi wako mama ametajwa mara 3 na baba ametajwa mara moja
Rais sio Kiongozi wa msikiti wala sio wa kigango Raisi ni Taasisi Ndani yake wako Wanaume pia
Na wala hatuchagui Kiongozi kwa kutumia rejea/reference za Bible Wala Qur'an sasa msitumie maandiko kujustify ujinga wenu majahili nyie
Hamtaki kuongozwa Na SSH nendeni mkaishi Ukraine wanataka watu kule
Mnaenda makazini mnamuachia mwanamke aleee watoto wenu nyumbani unakuta Mama ana Dini watoto Wana Dini baba hata Mungu halimjui kwa sababu watoto wamepata Mama Bora nyumbani