hadi nguo avuliweHuyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
Mafundisho ya kweli ya Uislamu kuhusu mwanamke wa Kiislamu na uongozi ni haya
P
FaizaFoxy , Ritz ya kweli haya au ni hadithi tu...!!?Muislamu wa kwanza,wakati wa Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake)ni Mwanamke Bi Khadija.Bi Khadija(Mwanamke),ndiye aliyemuongoza Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),Yeye Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),alipotokewa na Jibril,kumfikishia ujumbe,Mtume hakujuwa lolote ,mpaka alipomuelezea Bi Khadija,na Bi Khadija ndiye aliyemwambia kuwa huyo ni Jibril,na ndiye aliyewatokea Mitume wengi,na kuwaelezea kuhusu mambo ya dini.
Bi Khadija(Mwanamke),ndiye alimuongoza Mtume(Rehema na Amani ziwe juu Yake),Kwenda kwa mwanachuoni,aliyesoma Injili,ili amfafanulie kuhusu sifa za Mtume,atakayekuja baada ya Nabii Issa
(A.S).Na Mtume akakubali kuogozwa na mawazo ya Mwanamke,kwenda kwa huyo mwanachuoni wa Injili,na akaelezewa sifa za Mtume atakayekuja,baada ya Nabii Issa,na Mtume akakubaliana na maneno hayo.
Na kabla ya hapo,Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),alikuwa akifanyakazi yakuajiriwa na Bi Khadija(Mwanamke),akiwa ndio kiongozi wake wa kazi,na hakulipinga hilo.
Nani aliye Muislamu,atapinga historia,ya Bi Khadija,ya kuwa Mtume,alifanyakazi chini yake,akiwa ni mwajiriwa,kabla ya kumuoa na kuwa mkewe.
Na nani atapinga kuwa Bi Khadija,(Mwanamke),ndio Muislamu wa kwanza,na ndiye vile vile wa kwanza,kumuuelekeza Mtume,kuhusu Jibril,na kumuingoza kuwa yeye ndio Mtume.
Tukija katika,Muislamu wa kwanza,kuuliwa katika uislamu,kutokana uislamu wake,ni Bi Summaya(Mwanamke),huyu aliteswa na kuuliwa,na hakuacha uislamu wake.
Nani kama Bi Khadija(Radhi za Allah,ziwe juu Yake).Mpaka Mtume anafariki,anamtaja Mwanamke huyu,jinsi alivyomuongoza katika uislamu.
Achana na hadithi,zilizoingizwa katika uislamu za israiliat,kupotosha maneno ya Mtume.Soma somo la "Ilimu l khadith",uwelewe hadithi sahihi na zisizosahihii.
https://www.aljazeera.com › news
President rejects Muslim PM candidate Sevil Shhaideh | News
27 Dec 2016 — Sevil Shhaideh, a politician of Turkish origin, could have been EU nation's first female and Muslim prime
Kitabu kipi kinaruhusu mwanamke kuchinja?Mwanamke ameruhusika kuchinja Tatizo Lenu mnadhani sharia za kidini zimekuja kupora haki za watu uliza Sheikh wako hapo je Mwanamke haruhusiwi kuchinja????
AiseeeSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Akapinge msikitini. Huku hatumuelewi
Tumechochora mno Kwa heshima ya ofsi yake ngoja tukae kimyaSheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah
Hii sio Islamic StateWanabodi,tegea sikio kwenye maneno haya machache ya kiongozi huyu wa dini!!
Binafsi sitaki kuingia kwenye dini sana Ila hata dini zetu zote,manabii wote walikua jinsia moja!!
Hata kuumbwa kwa Hawa,kulifanywa ili awe msaidizi wa Adam,na pengine kuna somo kubwa sana pale tunapoambiwa ulitolewa sehemu ya mbavu/ubavu!!!
Hali ya sasa ya kiuchumi na kijamii na matamko ya Mama yanaakisi maandiko na mafundisho?!!
View attachment 2174155
Huyu Sheikh sijamsikiliza wala simsikilizi, punguani tu.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Nafikiri Indonesia, Malaysia na hata Pakistan zina idadi kubwa ya waislam,tumeshuhudia wanawake kuwahi kuwa wakuu wa serikali,labda hawana wanazuoni mahiri Kama Tanzania.Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke....Astaghfirullah laanatulillah
Nimsikilize nini atapiga porojo tu. Hakuna mahali Qur'an imekataza mwanamke kuwa kiongozi.Unamhukumu vipi bila kumsikiliza?
Hauoni utakuwa haumtendei haki?
Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
"Anaweza kuwa kiongozi lakini juu yake lazima kuwepo mtu" kumbe mwanamke si mtuSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036