Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Bi Khadija,alimajiri Mtume Muhammad I(S.AW),na akawa ni kiongozi wake katika biashara za huyu Bibi.
Umeona, Bi Khadija (ambaye alikuja kuwa mke wa kwanza wa mtume) alimuajiri Mtume Muhammmad (S.A.W) katika biashara zake, na mtume akawa KIONGOZI sio bi KHADIJA, lakini pia wakati bi Khadija anamuajiri Mtume Muhammad (S.A.W), Muhammasd alikuwa na miaka 29 na alikuwa hajapewa utume maana utume amepewa akiwa na miaka 40, kwa maana hiyo ilikuwa kabla ya Uislam! Uislam unaagiza "Mwanaume ni Kiongozi juu ya mwanamke"
 
Wafrika tunapenda sana Shobo na waarabu asieeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wakati wao wanafanya biashara ya utumwa ya kuwauza waafrika na kuwanunua kama wanyama walikuwa wanatumia Quran ya aina gani?!!!!! Hizi shobo wa Afrika kwa wazungu na waarabu sijui tutaacha lini?! Tazama wa China na wahindi walivyo na Tamaduni zao za kuabudu, vyakula vyao, dawa zao etc. Mtu analalamika Rais Mwanamke ilihali hata usikute ofisi anayofanya Bosi wake ni Mwanamke mbona asiache kazi?!!! Nasema Uislamu katika Africa umekaa tu kinafki maana mila na Tamaduni za dini ya kislamu kwa uchumi wa Afrika hatuwezi na ndio effect ya kubeba mambo ya watu kichwa kichwa!!! Wangapi hawapandi magari ya Umma ambayo yanakuwa na jinsia tofauti ?! Si dini yenu inakataza?!!! Wangapi mnafanya kazi katika ofisi za jinsia moja tu?! Wangapi mmesoma shule na vyuo vya jinsia mmoja tu?!!! Mbona hayo hamyasemi?!!!! Uislamu katika Afrika hautakaa ufanikiwe..... so acheni shobo na waarabu kwanza hawawapendi kivile Tazama wasichana wetu wakienda kufanya kazi huko wanayopitia katika mikono ya waarabu...

Tanzania yetu inaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anayetaka masuala ya Sharia ahamie nchi za waaraabu kule hata wanawake hawaruhusiwi kudrive magari
 
Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke
NI kwenye Uislamu AU kwenye Level ya Nchi?? Kumbuka Nchi sio Imani? Na haina Dini? So nadhani labda ni kwenye angle ya Imani ya Kiislamu na viongozi wake na sio Level ya Nchi, maana Kuna wapagani, Budha, Christians, Muslim na wengine wengi sasa kumeet standard za hao watu wote sio kazi ndogo ndio maana ikaweka utaratibu wake na kuruhusu watu wake wawe na imani tofauti huku wakifuata Sheria
 
Mwanamke anajipelekaje mwenyewe? Chanzo cha yote mjitathmini upya nyie wanaume nje ya hapo nafasi zenu zitazid kutwaliwa kila jua linapokucha. Na Hamna mtakachofanya mtabaki mnalalamika na kulialia
 
Umemuelewa sheikh lakini?

Hebu rudia kumsikikiza.
 
NI kwenye Uislamu AU kwenye Level ya Nchi?? Kumbuka Nchi sio Imani? Na haina Dini? So nadhani labda ni kwenye angle ya Imani ya Kiislamu na viongozi wake na sio Level ya Nchi, maana Kuna wapagani, Budha, Christians, Muslim na wengine wengi sasa kumeet standard za hao watu wote sio kazi ndogo ndio maana ikaweka utaratibu wake na kuruhusu watu wake wawe na imani tofauti huku wakifuata Sheria
Lakini si unaona yanayotokea!!?
 
Mwanamke anajipelekaje mwenyewe? Chanzo cha yote mjitathmini upya nyie wanaume nje ya hapo nafasi zenu zitazid kutwaliwa kila jua linapokucha. Na Hamna mtakachofanya mtabaki mnalalamika na kulialia
Kwahiyo tunafanyaje mkuu?
 
Kusimamia misingi vizuri kuanzia ngazi ya Familia mpk Taifa.
 
Maalim akikaribishwa meza kuu ajumuike nao kula vinono atakaa kimya kama bubu... Hakuna asiye na price tag.. Tunachotofautiana ni kiwango tuu
Huyu ameeleza kile Qur'an inafundisha. Siyo maneno yake wala hahitaji kununulika.
 
Kuna vitu vingine vinatia shaka Sana kuhusu afya ya akili ya mzungumzaji na ya washangiliaji wake mapopoma. Wakati anateuliwa mara mbili kuwa makamu WA raisi huyo shekhe 'mufilisi' alikuwa haoni au hasikii au hajui utaratibu WA katiba umekaaje likitokea la kutokea?!!!!!! Alisema nn?!!!!!

Hilo moja, pili kwahiyo mnatakaje sasa maana ni mwaka sasa mama anaongoza na anaendelea kuchanja mbuga tu.....leteni basi jina la mtu anayefaa au pindueni mchukue nyie; acheni kung'orang'ora huko jikoni mnatupigia Keller!
Umeandika nini hii sasa?
 
Back
Top Bottom