Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Lakini si unaona yanayotokea!!?
Yapi mkuu wangu ? yanayotokea hapa Nchini? Kama ni hivyo huoni kwamba hayafanyiki kwa ujasiri? bado kuna balancing fulani inafanyika huwezi ku compare na nchi ambazo ziko under Islamic rule. Huko inafanywa kwa uwazi and every body knows
 
TBOSS tafadhali kwanza msikilize alichosema, yeye amesema kilicho andikwa kwenye Qur'an...na wala halazimishi watanzania tufuate kile kilichoandika hapo....amesemwa "kumbushaneni, ama kwa hakika ukumbushe umewafaa walioamini" kama wewe hujaamini haikuhusu! Lakini pia kuna mangapi yameandikwa kama makatazo kwenye biblia na watu wanafanya, je ina maana wahubiri waache kukemea kwa sababu tu watu wanafanya yale yaliyokatazwa?
 
Daah hawa ndugu zangu sijui wakoje tu... Majuzi nimepita maeneo fulani karibu na msikiti. Nilichokiona na ubaguzi wa wazi kabisa... Jengo moja la msikiti... Ukumbi mmoja mkubwa... Ukuta ukiwa umewatenga wanaume na wanawake! Zaidi ya yote wanawakr karibia wote wakiwa wamevalia ninja style...
 
Kwani kuvaa kininja kuna shida gani mkuu?

Hautaki wajisitiri?
 
Yni sasa wewe ushaona wapi + -zikakaa sehemu moja hlf kusitokee la kutokea?

Imani ya kiislamu inamuheshimu kila mtu hasa m.ke ww untka watu wachanganyike watongozane hlf faida yake ni nini?
 
Muulize kuhusu waziri mkuu wa Jacinda Ardern waziri mkuu wa New Zealand anayesifiwa ulimwenguni kwa kuweza kupunguza makali nchini ya covid19 nchini mwake.
Alifanya kitu gani chenye utofauti?
 
Yni sasa wewe ushaona wapi + -zikakaa sehemu moja hlf kusitokee la kutokea?

Imani ya kiislamu inamuheshimu kila mtu hasa m.ke ww untka watu wachanganyike watongozane hlf faida yake ni nini?
Muda wa kutongozana wanautoa wapi na wapo ibadani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…